Wanaume wanaopenda ‘ Kujimwambafai ‘ Vijiweni / Mitaani ndiyo wanaongoza sana Kupigwa na Kunyanyaswa na wake zao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Je, hapa kuna Ukweli wowote ule?

Hii taarifa imenilazimisha sasa hivi nianze Kuwafuatilia Wanaume Wawili ambao mara nyingi nikiwa nao Vijiweni na hata wakiwa Runingani huwa wanapenda mno ‘ Kujimwambafai ‘ na Kujifanya Wababe na Watu wenye Misimamo Mikali na kwamba hawapelekeshwi hovyo

ili nijue na Wao huwa ‘ Wanazuga ‘ tu lakini kumbe wakiwa Majumbani mwao huwa wanapokea ‘ Vichapo ‘ vya haja na ‘ Wananyanyasika ‘ sana na Wake zao / Wapenzi wao.
 
kuna mtu nyumbani anakuwa popoma lakini akitoka hapo ni chui..mara nyingi ikiwa hivi mwanamke anakuwa anajua usiyotaka watu wajue so ukifanya nyoko tuu anamwaga ugali na mboga..haha ndio maana unaona mambo kama hizo kaka
 
Back
Top Bottom