Wanaume wanaooa ‘nyumba ndogo’ huwa hawadumu nazo……………….!

Mara nyingi nyumba ndogo hua wapo kikazi zaidi na wanatoa kitu ili wapate kitu! Ni wachache sana wenye mapenzi ya kweli wengi ni waigizaji tu ili wapate wanachokitaka..they are good pretenders!
Wanaume mlio oa tulieni na wake zenu jamani!
 
Hawawezi kutulia hao hata uwapigie gitaa.....unapoteza muda.
 
Back
Top Bottom