radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,412
- 6,447
inawahusu hata nyinyi wa kijijini, msikabidhi dada zenu kwa mabazazi wa mjiniHuu Uzi unawahusu wanaume wa mjini tu!!! Siwezi comment chochote
inawahusu hata nyinyi wa kijijini, msikabidhi dada zenu kwa mabazazi wa mjiniHuu Uzi unawahusu wanaume wa mjini tu!!! Siwezi comment chochote
Nenda kituo kikubwa chochote cha polisi ulizia DAWATI LA JINSIA ndio kazi zao hizo.Yaan sijui hata nimsaidiaje.... Nlimwambia awaambie nyumbani kwao akaniambia cm yake Haina ela nikampa ela akaweke vocha sijui hata Kama alisema......
Kenyewe kanasema nyumbani kwao wamemuambia ndoa Ni kuvumilia.... Aliniambia ivyo mtoto mwenzie ambao wanashinda wote..... Alaf Sasa saa zingine kanapigwa alaf kanatoka nje kanacheka na kuongea hata hakanuni jamani..... Nyie wanaume nyieee na nyinyi mtazaa tuu watoto wa kike
Kumbe wameshakujaSamahani Mkuu,
Kwani mtoto anaanza na miaka mingapi?
Mimi nasikiaga kwa watu wakisema kuwa ndoa ni maridhiano ya watu wawili. Vipi ulijaribu kufuatilia kabila la jirani yako? Maana kunakabila linaruhusu mwanamke kupigwa na kwa kufanya hivyo inadhihirisha upendo wa mume kwa mke wake. Au ni stress za kuolewa ndy zinapelekea baadhi ya watu kufuatilia maisha ya watu wengine?
Anamuonea kwa vile mtoto jamani, lakini sio vizuri hata kwa bed nahisi hakaandaliwi kanashtukia mashine inazama tu duh.
Huyo jamaa hawez kujishughulisha kumuandaa huyo binti kwasababu anamchukulia kama mateka wake au something like anamsaidia maisha.Wanabakwa hawa..amino hivo
Kama hana amani na wewe hata hiyo romance utaiona kwenye telemundo
Anakuingilia kinguvu akimaliza haja zake anageuka upande wa pili.
Haya si mateso jamani?
Huyo jamaa hawez kujishughulisha kumuandaa huyo binti kwasababu anamchukulia kama mateka wake au something like anamsaidia maisha.
Kweli kabisaDunia haina usawa kabisa:
Ni kawaida kwa mwanaume malaya, mlevi na muhuni kupitiliza kuozeshwa bint mwema na mwenye maadili yaliyotimia.....
Ila ni nadra sana kukuta kuwa:
Mwanamke malaya, mlevi na muhuni kupitiliza kuozeshwa mwanaume mwema na mwenye maadili yaliyotimia....
hahaha kumbe hata kwa mchemsho wa supu zinafaaMiaka 19 ni mdogo sana.
Pengine hata mwanaume anaongea na vicheche wake mbele yake na hakafanyi kitu.
Huyo mwanaume angenioa mimi ningeshamkata naniii zake nichemshe supu. Nimechukia sana
Makabila ya huko kanda ya ziwa ndo Yana hizi habari za Kama hupigwi Basi hupendwi Hawa Wala sio wa Kanda ya ziwa....Samahani Mkuu,