Wanaume wanaofanyiwa ukatili na Wake zao Waaswa kuripoti Polisi

HIZI kesi za kupigwa na MKEo,
niliwai kuikuta MAPOKEZI kituo kimoja Cha polisi uko mkoani.

Jamaa aliishia katukanwa na kudhihakiwa pale na wale askali wa kike na kiume alowakuta pale kaunta wakimshangaa Ni kesi gani kawaletea.

Ofcoz wote tuliishia kucheka pale

SIPATI PICHA NDO ANGEPELEKA KESI YA KUNYIMWA UNYUMBA INGEKUAJE
Sasa mwanaume anaendaje kushitaki kuwa mkewe anampiga?!
 
Aaah yaani udundwe na mkeo kisha ukaripoti police unafika kaunta unamkuta WP police wa kike ndo unaripoti kwake, hii ni hatari sana aisee.
We ukidundwa na mkeo yamalize mwenyewe.
 
Saikologia ya wanawake wengi awapendi demokrasia. Wanaume wengi wapole, wastaraabu na waungwana 90% wake zao pasua kichwa. Wanaume madikteta wale wanaoongea neno moja la pili ngumi ndoa zao zipo imara.
Hawa viumbe awapendi kabisa demokrasia. Wanaume wote wanaonyanyashwa ni democratic.
 
Back
Top Bottom