wanaume wanaofanya ngono nje ya ndoa kufa kwa ugonjwa wa moyo

duh . . . . .
Umewashika pabaya

je wake za watu wanaocheat?
Nao wako hatarini?
 
yaani kuna ka ukweli lakini zipo taarifa nyingine zimesahaulika....................chanzo cha kuzini ni kuwa tayari mhusika yumo ndani ya pasua kichwa......................haridhiki na khali iliyopo..................huo ndiyo mwanzo wa yote yale..............kwahiyo pamoja na ngono kumwongezea kizungumkuti lakini hakikuanzia pale kwenye tendo lenyewe..............kimetokea mbali sana...................hili likijumlishwa na mazingira yenywe yakutolea hamu...................basi moyo unakuwa umebebshwa zigo kubwa..................."There shall be no peace for the wicked says the LORD".....................Isaiah 48:22
 
Sasa hii ni kinyume cha ukweli, mbona nyumba ndogo ni vitulizo vizuri vya stress?
 
Salam zishawafika,wengine wana nyusaaaaa,siunajua ukweli unauma tenaaa.
 
kuna kaukweli kiasi fulani ila kazi tunayo tabu kwelikweli
 
Back
Top Bottom