Wanaume wanajua kuendesha magari, wanawake tunaiendesha dunia.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,831
Mke alipanga na mpenzi wake kwenda guest house fulani kuvunja amri ya sita. Walipofika
reception wakati wanasubiri chumba kitayarishwe, mume wa yule mwanamke akatoka na
mpenzi wake katika chumba kimojawapo;
MKE: Haya sasa leo nimekukamata live. Na ninashukuru nilikuja na huyu bwana ili niwe na
shahidi, maana ningekuona peke yangu wewe ungekataa katakata.
 
Mnaindesha dunia how?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
pesa ndo inaendesha dunia. Hakuna cha mwanamke hapo. Ingekua mwanamke anaiendesha dunia marekani wangevamia America Kusini na kubeba vimwana wote kupeleka kwao. Ila PESA ndo kila kitu, hadi wanaenda Iraq kunyonya mafuta.
 
kumbe nyie ndio mwaendesha dunia eenh...siku zote najiuliza nani anaiendesha hii dunia kulizunguka jua!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom