Wanaume wanahangaika sana

Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu 😂😂 halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona 😂😂 kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii 😅 halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia 😉
Alafu Acha dharau..unaonekana una dharau sana wewe!! Ndo maana umepigwa mashine na ukaachwa...!! huyo boy wako kumpata huyo demu inaonekana demu mtamu na anajua mambo kukuzidi...Uzur hausaidii sana
 
Inaonekana wewe ndio unateseka maana hadi umemjua gf wake mpya ukamchunguza ukaona ni mbaya, uzuri wa mtu uko machoni mwa anayemtazama. Just move on girl

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umemwambia ukweli
talking negativity kuhusu jambo fulani maana yake ni kujutia alaf kadili anavozidi kuzungumzia negatives kuhus past relationship yake anazidi kujiumiza zaidi na anajutia sana
na hii inaonesha kabisa yeye ndo alieachwa na anaumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui upande wa kiumeni labda ww umeongelea kwa upande wenu ila sisi ke tunataka kuthaminisha, kanizidi! hata ukusikia bwana wa rafiki wameachana ana demu mwingne maeneo ambayo ww upo lazima utataka kumjua ulinganishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndyo wivu tunaosema... Umeacha/ umeachwa move on achana naye kabisa x... Fanya mambo yako ..onyesha ushirikiano panapobidi kwasababu nyinyi siyo maadui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba anahangaika ila jua huyo aliyenaye sasa ye kamuona ana thamani kuliko wewe...pole sana bibie,
Na kwann umfatilie yuko na nani sasa kama sio kuumi roho umeachwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamia
usieseme "kajitu' huyo demu unaweza shangaa ndo mpaka ndoa....sasa wewe endelea kujiona mzuri huku ukichelewa.

NB: Nitafute PM nione tunatatua vipi hii shida... Nipooze hayo machungu.Nipo serious😀
 
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
Kwani kakutangazia au unajistukia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili bandiko inaonekana sura yako ndio umeigeuza maslahi kwenye mahusiano kuliko tabia njema. Sasa we endelea na akili hio utaachwa mpaka ujione una mikosi.

Halafu kimsingi ulijua ukiachwa jamaa ata struggle kupata mpenzi mpya ili nafsi yako isuuzike matokeo yake kashapata goma mapema tu...we kaa kwa kutulia regardless mpenzi wake ni mzuri au mbaya kwa mtazamo wako alimradi ana sifa zote za kuitwa mwanamke we haikuhusu acha kuteseka. Ulibipu jamaa kapiga we lala zako mbele sasa uone kama kupata mwanaume mwenye akili ni rahisi.
 
kwa age yangu hakuna kupotezeana muda na weza sema ni experience halafu we were madly in love sasa unaanzaje kusema kupoteza muda hata kama mapenzi yameisha siwezi kusema ni kupoteza muda hata kama tumeachana kuna vitu nme learn kwa hii relationship
Pole mkuu.
Mungu ataleta mwanaume sahihi wa maisha yako kuwa na subira tu

kumbuka

"Love is not enough"

Hii inamaana kwamba
huyo unaedhani mlipendana sana
kuna siku utakuja kupata mtu mwingne ambae mtapendana sana kuliko hata mahusiano yaliyopita
mapenzi ndivyo yalivyo
maisha ndivyo yalivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu kinauma kama unajijua ww mzuri alafu hujaolewa alafu Yule unayeona mbaya bwana ako ndiyo kamuowa na ndo a kubwa hatari unabaki kucheka uku roho inakuuma

Sent using Jamii Forums mobile app
nikamwambia dada yangu huyo anaesema kajitu unaweza kuta huu mwaka hauishi tukaanza kupokea kadi za harusi sijui na sendoff..akati yeye kakaa nae kwa maelezo yake 3 yrs..hakuna kitu kitamuuma kama hicho..kabla hatujafika christmass ndoa itatangazwa na they will live a happy life there after😀..!! wanaume ndo tulivo ukimwaga mboga namwaga ugali wote...alafu naenda kula pilau kwa mwingine
 
kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii 😅 halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia 😉
WEWE inaonekana umeanza kuchanganyikiwa! ulijua mchizi atajinyonga au? na inaonekana kavuta chuma so umabaki unateseka....wanaume hatubabaishwi na papuchi wewe
 
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu 😂😂 halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona 😂😂 kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii 😅 halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia 😉
Uzuri wa ndani wa huyo dada unayesema mbaya unaujua? Sebule yako na yake ipi safi? Je, cushion yake na yako ipi bomba? je, anavyotoa support kwenye game ni sawa na wewe?
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom