Wanaume, wamekuwaje jamani!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume, wamekuwaje jamani!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Safina, Aug 3, 2010.

 1. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2010
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jamvi,

  Nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa mashosti eti utakuta mwanaume anamtokea msichana na kumuimbisha sana, mimi nakupenda zinakuwa nyingi, lakini mkishapewa mara moja ndo mnaanza visa, mara nina kazi nyingi nimebanwa, kabla ya kupewa muda ulikuwa mwingi tu wa kuwatafuta lakini ukishampata ndo visingizio vinaanza. Mimi nina saloon na grocery huko ndio huwa wadada wakija kutengeneza nywele au tukiwa tunapata moja moto moja baridi mashosti wanalalamika sana kuhusu hilo. Eti tunaomba mtuambie mmekuaje?
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...sasa na nyie, si muwanyime basi?
   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ahh!yani hili nalo ni swali?Ni kwamba tunachotaka ni kitamu-tamu!kingekuwa bure, i love u nyingi zisingekuwepo!
   
 4. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Wawanyime wakati na wao wanavitanamani na kuvimi-miso kabisa???:lol::lol:
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kha mliwekewa mtutu wa bunduki kuwapa?
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Inachekesha sana , kama ndo hivyo inapaswa wanyimwe au wazungushwe mpaka wakate tamaa :A S 112:
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wewew mtu akikwambia anakupenda ndy anakuoa? Kama ni kufurahishana tu basi haina haja kumfuatafuata na Kumpiga VIBOMU!! Tabu kubwa ni kuombaomba pesa wakati hauuzi!!
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...he he hehheh...ina maana baada 'peremende' anageuzwa ATM?
  No wonder 'the number you are calling is unreachable' hufuatia.
  Safina, huna swali la nyongeza?
   
 9. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni gharama za uendeshaji..., mara kodi ya nyumba imeisha, mara mdogo wangu hana school fess, mara mama mgonjwa etc. Who would like to foot these bill after he has got what he wanted in the first place? :lol:
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwani umechukua muda gani b4 kumpa?
  mchunguze fresh b4 aujampa not less than 6mth closely.............yan utajua tu km uyu ni one touch au wa kuhang naye japo kdg....km si kindoa apo badaye
  -usikiurupuke kutoa.......km slang ilikuwa kakutokea ijumaa then jumamos ukampa wat do u expect?
  na wengneo afta kumpa waanza virungu ooh mimi jamani nmepungukiwa m2 ya .....jaman nataka laki 6...ahhhhhh ata km mimi mwanaume nasepa imediately!!!
  wat 2do:
  -jiheshimu
  -dnt act like goldga
  -take tym b4 aujampa
  APO KDG ITAPUNGUZA KUGUSWA NA KUACHWA
  vce vesa na apo ni utafunuliwa na kufunikwa km sahani ya bakhresa.
  wape pole mashost ao.
  NAWASILISHA
   
 11. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Na huko salon kuna mambo! Wife wangu aliwahi kumiliki salon miaka ya nyuma. Siku moja nilienda kumcheki nikamkuta busy na wateja nilipoondoka tu dada mmoja si akaanza kunimwagia sifa, "Huyo kaka ana roho nzuri sana, nilienda ofisini kwao akanipokea vizuri, alinisaidia sana." Wife kwa nini asimid? "Mbona yule dada kakusifia kishenzi? Mtakuwa mnafahamiana." Nilimuuliza angejisikiaje kama yule dada angesema yule kaka anaringa sana, nimeenda ofisini kwao kanionyesha dharau hata hakunisaidia? In fact yule dada alikuwa anasimamia NGO fulani mpya na alikuwa anajiintroduce na kukusanya profiles za mashirika ambayo walidhani yalikuwa potential kufanya nayo kazi.
   
 12. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Inawezekana hamuwapi vizuri/hammeet expectation zao. Wape yote muone kama watakimbia!!:smile-big:
   
 13. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wanaume wengine wana tabia ya kuonja onja tu, alinganishe hapa na pale. Hayo maneno matamu na investment ya mwanzo ni kutimiza lengo lao la kuwapata. Kuonja mwisho mara ngapi?
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hahahahah wawape yoooteeee na waache vibomu na pengine wanawake pia wachangie vigharama kwa wanaume hata kumnunulia shati kweli hawatakimbia
   
 15. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,719
  Likes Received: 3,131
  Trophy Points: 280
  Ambassador hata mpewe vipi bado mtakuwa na visingizio.....wanaume sijui mmeumbwaje? Nyie watu mna roho za ajabu sana mnageuza wanawake ni chombo cha matumizi sijui kwa nini?
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Vitu vingine ukionja ni kama shubiri...huwezi kurudi tena...lakini vipo vingine kama asali utarudia mara milioni....msitulaumu tu wanaume,hata nyie wanawake mna issues nyingi pia
   
 17. M

  Malunde JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kuna tofauti ya kupenda na kutamani. Wanaotamani ni wengi kuliko wanaopenda.Wanaotamani wakisha timiza matakwa ya tamaa biashara kwisha na matatizo yako hayawahusu.Wanaopenda ni wazuri. Kazi kwako kujua anayekupenda na anayekutamani.Wakati mwingine umdhaniaye ndiye, kumbe siye.:bowl:
   
 18. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tatizo la mahusiano siku hizi limekuwa kubwa kiasi kwamba ni kama hakuna mapenzi na kilichokuwepo ni tamaa za mwili tu,kwa wanaume watakacho ni kutimiza haja tu hasa kama mwanamke ana maumbile yanayovutia,na kwa wanawake ni wakati wa kutengeneza maisha kama mwanaume anayemfuatilia anazo,pia wanawake wengi siku hizi wakitongozwa tu wanafikiria KUOLEWA kitu ambacho kwa wanaume kinakuwa hakipo akilini.
   
 19. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Safina inshu ni kuwa!! wanawake wengi wanakuwa siyo wabunifu utakuta mdada anategemea tu hiyo kitu yake kama mtaji wakunipata mimi na kuongeza life security yake. Hakumbuki kuwa mimi nachotaka ni furaha katika maisha yangu, natakiwa nijisikie vizuri zaidi nikiwa naye na kumuona ni muhimu kuwa naye muda mwingi. Kingine wadada wanarely mno kwa wanaume!! Mi nilikuwa na kitu changu yaani hadi raha nikitaka muda wowote napata, no complication na yeye akitaka nampa. Mizinga siyo lazima ila akinifuma ninazo nampa namimi nikichacha nampiga mzinga vile vile!! life linakuwa siyo gumu sana maana mtu kama unapata taabu kuzichanga inakuwa ngumu hata kuongeza mzigo (Tegemezi).

  Wadada wengi wanakuwa too much tegemezi siku hizi, ila naona saizi wanabadirika kidogo kodogo ambapo bado ni wachache.

  Thanks for the post.
   
 20. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  wachache hao wa saloon
   
Loading...