Wanaume wamekua watumwa wa janga la matangazo ya dawa za nguvu za kiume

amanda cute

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
244
453
Ni kama vile hili janga linaenda kua la kitaifa sasa ..ukipita mitaa mingi pia kwenye maredio, magezeti, kwenye mitandao utakutana na mabango mengi tunatibu (nguvu za kiume) ......

Imeshakuwa utumwa huu wanaume imefikia mahali mkiambiwa hata mle kinyesi cha mtu ni dawa za nguvu za kiume mtakula. Hivi wazee wa zamani mbona walikuwa strong sana na waliweza kuoa wake hata watano na walikuwa wanawatosheleza ?

Siku hizi mwanaume una dem mmoja tuu unashindwa kumridhisha ukiingia tuu sekende kinasinyaa kinakua kama mlenda ? Kuna baadhi ya wanaume akiwa na ahadi na mpenzie anakimbilia bar kuboost na konyagi na zanzi Au amarulaa haaa ...

Wengine kuna kongo dust, viagra ,nk.... hii hali inatisha Sana litangazwe ni janga la kitaifa upungufu wa nguvu za kiume na hawa wanaouza hizi dawa walipie kodi sasa....

Ushauri fanyeni mazoezi, kuleni vyakula vya asili, hizi dawa ni hatari kwa afya zenu. Jitahidini basi mnafanya wanawake wengi wawaze dolido sasa.....
FB_IMG_1498202870852.jpg
 
Mkuu mimi hilo janga silijui naliskia tu.. waambie wanywe supu yenye miziz ya dawa na sio vimchuzi vya migahawani na chapati mbili.

Cc Compact
Waambie Lalashe waje twende huko mstuni tupate mizizi kwa mwezi mmoja tu, wakirudi watasahau yote.

Orpul ndilo suluhisho.
 
Back
Top Bottom