Wanaume waliooa au wenye wahusiano imara tu.

vyombo balaaa
Pole dear, kama vipi tumtume akatibiwe tena India maana mi nnamashaka nae tokea alivyorudi kipindi kile naona hayupo sawa, inawezekana wahindi walichokonoa fyuzi zake.

Maendeleo hayana chama
 
Hongera sana mkuu ila wewe ni mwanaume bora kupata kutokea na mume wangu nae namuweka kundi lako. Sisi tunaongea video call. Sasa kama hujui ku mastabet si utashindwa kuvumilia??? utaweza kweli kwa mwaka mzima?
 
Ushauri Ni mwingi Sana lakini wengi wetu huwa hatuko halisia.
Huwa tunaogopa kusema Yale tunayoyafanya.
Tafakari vizuri na uchukue hatua.

Kwangu Mimi Nina mchepuko hata nikiwa nyumbani
Huko mbali siwezi kaa njaa muda wote huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza hongera saana kwa kuendelea kua Mme bora.

Naomba urudie kusoma teena ushauri uliotolewana member anaeitwa @Eli19 am sure utakusaidia saana.

Believe me kwenye hiyo changamoto uliyonayo "Phone sex" itawasaidia saana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom