Wanaume walioko kwenye ndoa wananafasi kubwa ya kupata mafanikio kwa sababu ya majukumu kuliko ambao ni ma-bachelor

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,615
10,125
Katika harakati za maisha tunajifunza vitu vingi sana, na tunaendelea kujifunza. Moja ya vitu ambavyo nimeviona ni kwamba mwanaume aliyeoa kutokana kuwa na pressure ya majukumu kunaifanya akili yake ihangaike kutafuta fulsa za fedha na maendeleo ili familia yake iishi vizuri

Ila Kwa ma-bachelor mambo ni tofaut kidogo, Kwa sababu wengi hawana majukumu Kwa hy wanakuwa hawana msukumo wa Mkubwa wa mafanikio. Mfano mwanaume mwenye familia, lazima atataka mtoto asome shule nzuri, nakama tujuavyo watu wengi hawapend watoto wasome shule za serekali za zama hizi, kwa sababu uwezekano wa kufaulu ni mdogo kwa hy atapambana mtoto asome shule nzuri, hiki ni moja ya kichocheo kikubwa sana Kwa mwanaume kutafuta fedha.

Mafanikio yanaendana na nidhamu, ma-bachelor wengi hawana nidhamu ya fedha, mwanaume bachelor anaweza kutoka kazin ijumaa akaenda Kwa mchepuko mpaka jmosi, akaunganisha kwenye kampani ya bia a marafiki zake akarudi jpili nyumban kwake, anafanya yote haya Kwa sababu hakuna wa kumuuliza ila kama angekua ameoa asingefanya yote haya Kwa sababu majukumu yangembana.

Asikwambie mtu mwanamke mwenye akili (aliyeolewa) ni kichocheo kikubwa sana katika mafanikio ya mwanaume. Ndo maana ni nadra sana ukiwakuta wanaume wenye mafanikio na hawana historia ya kuoa kabisa
 
MKUU,

UNAZUNGUMZIA MAFANIKIO KWA NCHI HII AU MALAWI NA KONGO?!?!

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Back
Top Bottom