Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,775
- 4,316
Halafu wanajua kila kitu
Na ubishi ni wabishi sana.
Na ubishi ni wabishi sana.
Over size mbona kama unamsema yule wa nyegezi!!! Mkoa wa chattle!!Mbona wanapendeza wakivaa size zao yaani slim fit ubaya wakivaa oversize ndio kituko
Kumbe wewe kafupiiiKama ni hivyo dukani kusingekuwa na size zetu wafupi....
Kama ni hivyo dukani kusingekuwa na size zetu wafupi....
dah!
😝😝😝😝😝😝😭😭😭😭Kwasababu moyo wao upo karibu na mfuko wa mavi so muda wote unakua unachemka tu, pia hata wakimeza mate wanajisikia kukojoa ndomana wanakua na stress muda wote
Hahahahaha ile video nachekàga mnoo..anavo cheza ujue kwa akili yake pale alikua ana shake/ break dancing hahah!Kajamaa kama yule msanii Bizman(mishi mishi nifungulie mlango wa bafuni nimefungiwa)kanavaa suti eti hahah
Sasa mkuu wakivaa kanzu nyeupe na kofia nyeusi si ndiyo watafananishwa na mishumaa mikubwa ya nyakati za Pasaka?Maana kanzu nyeupe itafanana na mshumaa halafu kofia nyeusi itafanana na utambi wa huo mshumaa.
Hahah namuonaga kama comedy flani hivi hahah.Hahahahaha ile video nachekàga mnoo..anavo cheza ujue kwa akili yake pale alikua ana shake/ break dancing hahah!
Mbona Sisi Wenyewe Huwa Tunajikubali Na Vimo Vyetu Kila Mtu Avae Anavyopenda Bhanawakuu kausheni basi maana nimecheka sana, hizi mbegu mbaya hatukupenda kuwa ivi
Mhhhh!! sasa huyo si alikuwa Rais!!Mmmh siyo kweli mbona Mkapa alikua anapendeza?