Wanaume wafupi na wanene vazi la suti achaneni nalo, haliwafai. Vaeni kanzu

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,319
Huu ni ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu.

Kama wewe ni mwanaume mfupi na pia mnene, vazi la suti halikufai, achana nalo, vaa tu kanzu au kaunda suti uende kwenye mtoko wako.

Vazi la suti liko designed na linafit zaidi watu warefu na wembamba, kanzu na manyanya puza yako designed specifically kwa watu wanene na wafupi.

Ili kuepuka aibu ya kuonekana hujapendeza ni busara sasa watu tuvae mavazi yanayoendana na kimo na kiwango cha miili yetu.

Huu ni ushauri wa bure tu. Kila la heri kwa atakaekwazika.
 
Mmmhh......mbona kuna wafupi naonaga wanapendeza fresh sana na suti.......sio utani kuna watu huwa naona zinawapendeza sana.........wafupi lkn sio wanene....

Labda niseme tu kwamba wanene ndo huwa haziwapendezi.....lkn mfupi mwembamba anadamshi fresh tu
 
IMG_1656.JPG
IMG_1655.JPG
 
Back
Top Bottom