Wanaume wa Tanzania wengi ni Maskini. Nimeona kwa jamaa zangu

Nmeshangaa jamaa kanipigia simu anasema anaomba nimkopeshe 500,000 hana. Jaman. Mtu unakosaje laki tano? Sasa hapo unaishije duniani hapa?

Nliporudi bongo kuna bank flan walitaka kuni ajiri wakanifanyia interview ambayo nayo hawakuiweza maana mwishoni nikawa mimi ndo nawafanyia interview.those people werent smart upstairs.ila wana nafasi kubwa kubwa tu.

Nikawauliza mtanipa tsh ngapi kwa jibu la kushangaza wakanambia eti usd 3000 kwa mwezi. Nliwaambia asante siwezi pokea pesa ndogo kama hiyo mimi nina akili na ni very potential.

Nmekuja kukutana na watu wenye uelewa wakanichukulia nyumba safi kabisa kubwa peke yangu,ulinzi,house maid n.k n mshahara angalau si kama ule wa kipuuzi wa usd 3000.na transport wanalipia kila kitu.naishi oysterbay kwenye hewa nzuri kabisa.hamna kelele na ni lami toka home mpaka town.

Hivi kama unataka kukopa tsh 500,000. Utaweza kweli miliki msichana aka enjoy?ukaamua kwenda naye kupumzika dubai,los angels, bahama islands,paris n.k?

Utaweza kweli miliki na kuhudumia magari ya Mzungu?jamani tufuteni pesa.mimi nakumbuka nlishawahi kukwama kipindi flani nikicheck bank kwenye account nina mil 370 tu. Siwezi sahau kipindi kile wakati huo kuna gari nahitaji nipo UK inatakiwa Mil 440. Hapo ndo nlikwama kisawa sawa ikabidi nimwambie mzee anikopeshe mil 300 akagoma kabisa akanambia atanikopesha mil 500 na niirudishe ndani ya miezi 3.

Nlichakalika sàna.nikaipata kumrudishia akagoma ipokea akanambia niiweke kwenye fixed account.sasa nmeshangaa mwanaume anakuja kwangu kabisa eti nimkopeshe 500,000? Ntaanzaje kumdai pesa kama hiyo?nmempa tu.

Nmeshangaa jamaa anakosa hata 10,00,000 kwenye account.hii inakaaje wadau? Huu si ni uvivu wa kufikiri kabisa? Nmeona aibu kumkopesha hiyo nmempa hajaamini anaona eti pesa nyingi.jamaa lazima maisha yawe magumu.analipwa mil 2.9 mshahara.huo mshahara matusi?

Kama vipi ni bora kujiajiri tu siyo kudhalilika namna hii. Tufanyeni kazi watanzania wenzangu.mimi nliondoka Tz mwaka 1992 kwenda USA nmerudi bado watu wana attitude zile zile za miaka ile.we have to change guys
Haya ndo madhara ya kujifukiza na maganda ya ndizi, nenda kanywe maziwa.
 
Huyu bila shaka ni Mhaya wa Washington DC, siku nyingine tutawasikia na wale wahaya wa NewYork.
 
Dah!! Yan ndugu nimeumia sana uzi kama huu wa kipuuzi hv umepata reply kibao yan,nimeumia zaidi maana paka mimi pia naweka mchango wangu katika huu upuuz.Inaonekana umefanikiwa lengo lako la kupiga kik jf.
 
Nmeshangaa jamaa kanipigia simu anasema anaomba nimkopeshe 500,000 hana. Jaman. Mtu unakosaje laki tano? Sasa hapo unaishije duniani hapa?

Nliporudi bongo kuna bank flan walitaka kuni ajiri wakanifanyia interview ambayo nayo hawakuiweza maana mwishoni nikawa mimi ndo nawafanyia interview.those people werent smart upstairs.ila wana nafasi kubwa kubwa tu.

Nikawauliza mtanipa tsh ngapi kwa jibu la kushangaza wakanambia eti usd 3000 kwa mwezi. Nliwaambia asante siwezi pokea pesa ndogo kama hiyo mimi nina akili na ni very potential.

Nmekuja kukutana na watu wenye uelewa wakanichukulia nyumba safi kabisa kubwa peke yangu,ulinzi,house maid n.k n mshahara angalau si kama ule wa kipuuzi wa usd 3000.na transport wanalipia kila kitu.naishi oysterbay kwenye hewa nzuri kabisa.hamna kelele na ni lami toka home mpaka town.

Hivi kama unataka kukopa tsh 500,000. Utaweza kweli miliki msichana aka enjoy?ukaamua kwenda naye kupumzika dubai,los angels, bahama islands,paris n.k?

Utaweza kweli miliki na kuhudumia magari ya Mzungu?jamani tufuteni pesa.mimi nakumbuka nlishawahi kukwama kipindi flani nikicheck bank kwenye account nina mil 370 tu. Siwezi sahau kipindi kile wakati huo kuna gari nahitaji nipo UK inatakiwa Mil 440. Hapo ndo nlikwama kisawa sawa ikabidi nimwambie mzee anikopeshe mil 300 akagoma kabisa akanambia atanikopesha mil 500 na niirudishe ndani ya miezi 3.

Nlichakalika sàna.nikaipata kumrudishia akagoma ipokea akanambia niiweke kwenye fixed account.sasa nmeshangaa mwanaume anakuja kwangu kabisa eti nimkopeshe 500,000? Ntaanzaje kumdai pesa kama hiyo?nmempa tu.

Nmeshangaa jamaa anakosa hata 10,00,000 kwenye account.hii inakaaje wadau? Huu si ni uvivu wa kufikiri kabisa? Nmeona aibu kumkopesha hiyo nmempa hajaamini anaona eti pesa nyingi.jamaa lazima maisha yawe magumu.analipwa mil 2.9 mshahara.huo mshahara matusi?

Kama vipi ni bora kujiajiri tu siyo kudhalilika namna hii. Tufanyeni kazi watanzania wenzangu.mimi nliondoka Tz mwaka 1992 kwenda USA nmerudi bado watu wana attitude zile zile za miaka ile.we have to change guys
Mkuu nimekwama M 7 hivi nahitaji malizia nyumba yangu tuinuane mkuu vidole vimetofautiana ukubwa na urefu
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni fala, limbukeni na mshamba kupindukia
 
Umeteta vizuri sana pia inaonekana upo smart upstairs with a BUT! Perspective yako ni sawa kabisa pengine in the right time, in a right platform and with a wrong audience. Ndio wengi wetu/wao masikini lakini si wote na kwa wale umewaeleza nn wafanye kufika huko unapo dai ulipo kiuchumi. Yani asili yako haina tofauti na ya hao unaowashangaa kwa maana hujashauri lolote bali kujigamba pengine baba yako alikupatia mtaji, umetoka familia tajiri, au umerithi lakini kama umetoka chini kama mwana Apolo sawa otherwise hayo maneno kazungumze na mashogo zako you can't just come out just naked unless we ni psycho!

Back
Top Bottom