Wanaume wa Tanzania ni legelege

possible kabisa.sitowasamehe kabisa from now nadate wazungu na wachina tu

Kama unaweza basi huna shida ya mkono wa pili,

Enenda zako ukaishi kwa amani....waweza kufuga mutoto ya mutu kama napenda!!

Best wishes,

Babu DC!!
 
Smile, smile, smile
leo umeamkaje,
bahati yako wewe ni mzuri
wangekusema.
 
inachekesha kidogo so huyu muandika mada anataka kujustfy kuwa tuwape nchi wanawake au???wakati mwanamke aliye mstari wa mbele yule ajulikanaye kama Spika wa Bunge la Afrika Getrude Mongela yuko anaitia nchi kashfa kwa kufanya ufisadi na kuajili ndugu zake huko makao makuu ya AU??
 
nawashauri kesho siku yenu muungane mkamtoe yule mpuuzi pale magogoni, kuanzia hapo ntawapa saluti, otherwise siku yenu ni moja tu, the rest is ours. (just kidding)
 
Mimi naona kweli wanaume ni chanzo, hebu fikiria mwanaume kupanda mlima kilimanjaro kunamsaidiaje mwanamke??? naombeni kuuliza. nadhani wanaume kuna shida hapa
 
Hii legelege ni kila kona ya mwili wa mwanaume au ni kwenye zile zinazoitwa external responsibilities pekee.Maana muwasifie pia kwenye yaleeeee mambo yetu, sio mnakandya upande mmoja tuu.
Mtoa mada shem akijua....Weeee pole yako..thithemi kitu
 
Kweli dada wanaumegani hawa wanatufanya tuishi kama tupojehanamu.
Kila siku shida shida. Huduma ya afya tu inawashinda,ni nini sasa wanaweza kutuoffer kamaunatembea na roho yako mkononi?.kwanza nahama nchi mie
Kwanza mwombe baba yako msamaha kwa tusi hili
Pili kama mumeo ndo legelege ni huyohuyo sio sie.
Tatu kwa tabia yako lazima utembee na roho yako mkononi
Nne kama unafikiri wachina bora uende huko usijetuharibia wake zetu.
Mwisho ukome kutukana marijali maana ukiendelea tunakushughulikia mumu humu.

I love my mother coz she is the only one to me! Sijui kama wakwako watakupenda maana wewe mropokaji! Pole dear!
 
Bank za sperms sijui zitaanza lini hapa Bongo,mtu unazaa bila kuwa kwenye mahusiano
na dume wanawake oyeeeeeee.
 
Thanks be to God coz its your day!!!(only one day out of 365 days)...??? dont be proud of this"the only day" but fight for the remaining days(364+)to be your day(s)too!
"OPPORTUNITIES ARE THERE,USE THEM"!
 
Weeee kwenye EPA hakuana mwanamke mmoja yule anaubini wa kutoka mkoa wenye Mlima mrefu Afrika???
 
:nimekataa:nimekataasio wote, hayo yote uliyoyataja pia wanawake wameshiriki, wapo wanaume jasiri wanapambana na hayo maovu uliyoyata hapo juu pia, nao pia tuwaweke kwenye kundi la lege lege??:embarrassed1::embarrassed1:
 
wanawake wa tanzania huku tukiendelea na maadhimisho yetu
tukumbuke kuwa tupo na wanaume legelege kabisa.kwa iyo maisha yetu na ukombozi wa maisha yetu yapo mikononi mwetu wenyewe.hawa wenzetu tulio nao hawana nguvu yeyote ni mgonjwa tu aliyewekewa dripu na oxygen
hebu angalia-
1-watu wanakosa huduma muhimu ya afya ,wanakufa bila hatia eti madaktari wamegoma -chanzo mwanaume wa kitanzania
2-maisha magumu magumu-chanzo mwanaume wa kitanzania
3-vitu feki nchini eti tbs wana hadi ofisi korea-chanzo?
4-wizi epa radar -chanzo ?
5-soka kila siku tunafungwa hata na timu ya somalia-hao ni wanaume wa....?
6- endeleeni



yaani hamna siku wanatupa raha humu nchini hamna
tuungane wamama tuokoe taifa letu
426085_243455712413781_100002480636332_499625_1013436013_n.jpg

Mbona sasa hao walioko kwenye hiyo picha sio wanawake wa kitanzania?
 
Back
Top Bottom