Wanaume wa siku hizi hawawezi kuongea

Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi

Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games

Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari

Huwa hamtutendei haki kwa kweli

Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu

Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
Can u mind ur own business?
 
Stories tu
Hua mnatabia mbaya kweli na mmeshawafundisha paka wadogo zenu. Niliwahi kusafiri na kamwanafunzi 15-16yrs kwa vile mimi ni mtu ninaejielewa na mwenye busara ikabidi niwe responsible kukasaidia kakipata shida. Aisee kumbe kaliona tabia yangu ni udhaifu mwisho wa safari kakaanza kunililia eti kamepoteza pesa Matukio kama haya yamenifanya nisicheke na nyani

kama kuna mambo ya maana tutaongea otherwise ni buyu tu. Kama vipi uwe unasafiri na comedian mlipie nauli awe anakuburudisha safarini.
 
Zaidi tunakwepa Matumizi yasiyokua ya lazima maana ukifanya mazoea na stories tu gharama za safari zitaongezeka tofauti na ulivyopanga awali so ucjali Dada wengine tunalinda mifuko yetu tu.
 
Hua mnatabia mbaya kweli na mmeshawafundisha paka wadogo zenu. Niliwahi kusafiri na kamwanafunzi 15-16yrs kwa vile mimi ni mtu ninaejielewa na mwenye busara ikabidi niwe responsible kukasaidia kakipata shida. Aisee kumbe kaliona tabia yangu ni udhaifu mwisho wa safari kakaanza kunililia eti kamepoteza pesa Matukio kama haya yamenifanya nisicheke na nyani

kama kuna mambo ya maana tutaongea otherwise ni buyu tu. Kama vipi uwe unasafiri na comedian mlipie nauli awe anakuburudisha safarini.
ni ka kike?
 
T
Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi

Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games

Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari

Huwa hamtutendei haki kwa kweli

Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu

Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
Tatizo ni mizinga. Hamchelewi kufunguka na kuomba hili na lile.
 
Back
Top Bottom