Wanaume wa siku hizi hawajui kupigana kabisa

kritika

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
410
1,152
Nianze kwa kucheka tu jamani, yani yule baba yake mdogo nancy alinivunja mbavu,lile fumanizi lilifanikiwa kwa asilimia mia wanajamii wenzangu, baba mdogo alitangulizwa na lodge ni ya lijamaa langu la zamani nae nilimuelezea akaongezeka kwenye wale vijeba wanne,kila kitu kiliratibiwa vizuri huku nancy akishirikishwa mambo machache tu na kulishwa maneno pale alipopigiwa simu na baba mdogo.

Kimbembe kilikua kule ndani baba mdogo alivyoshindwa hata kurusha ngumi moja jamani kulikua na silaha kibao kama tv,bomba zile zakushikia mapazia,chaga za vitanda n.k alishindwa kabisa kupigana yule fedhuli mpka nikasema hata mimi mwenyewe ningekomaa bila yale majamaa ningepiga tope hata kwa vidole
 
Duh!!! Sasa sio ni huyo ex-shemej wako mbona unatujumuisha wote?? Title yako ingesema "Mrejesho:Baba yake mdogo na nancy kashindwa kujitetea baada ya kumsukia fumanizi"
Wengine hatuna tabia za kihanithi kama hizo.
 
Nianze kwa kucheka tu jamani, yani yule baba yake mdogo nancy alinivunja mbavu,lile fumanizi lilifanikiwa kwa asilimia mia wanajamii wenzangu, baba mdogo alitangulizwa na lodge ni ya lijamaa langu la zamani nae nilimuelezea akaongezeka kwenye wale vijeba wanne,kila kitu kiliratibiwa vizuri huku nancy akishirikishwa mambo machache tu na kulishwa maneno pale alipopigiwa simu na baba mdogo.

Kimbembe kilikua kule ndani baba mdogo alivyoshindwa hata kurusha ngumi moja jamani kulikua na silaha kibao kama tv,bomba zile zakushikia mapazia,chaga za vitanda n.k alishindwa kabisa kupigana yule fedhuli mpka nikasema hata mimi mwenyewe ningekomaa bila yale majamaa ningepiga tope hata kwa vidole
Mjumuishe huyo huyo ex wako. Si wanaume wote hawez kupigana.. tuko watu na experience zetu kwenye uwanja wa kupigana na vurugu lakin tumekaa kimya
 
Nianze kwa kucheka tu jamani, yani yule baba yake mdogo nancy alinivunja mbavu,lile fumanizi lilifanikiwa kwa asilimia mia wanajamii wenzangu, baba mdogo alitangulizwa na lodge ni ya lijamaa langu la zamani nae nilimuelezea akaongezeka kwenye wale vijeba wanne,kila kitu kiliratibiwa vizuri huku nancy akishirikishwa mambo machache tu na kulishwa maneno pale alipopigiwa simu na baba mdogo.

Kimbembe kilikua kule ndani baba mdogo alivyoshindwa hata kurusha ngumi moja jamani kulikua na silaha kibao kama tv,bomba zile zakushikia mapazia,chaga za vitanda n.k alishindwa kabisa kupigana yule fedhuli mpka nikasema hata mimi mwenyewe ningekomaa bila yale majamaa ningepiga tope hata kwa vidole
hahaha
 
Unahitaji maombi mama
 
Kwangu mm kufumania ni ujinga. Siwezi poteza mda wangu kwenda kufumania. Napiga simu, namweleza situation alipo then kibuti kinafuata. Digital sikuhizi kupigana kina taison wanalipwa bhana
Ungesoma mada iliyopita ungeelewa zaidi
 
Back
Top Bottom