Wanaume wa mitandaoni mjue kuwa si kila mwanamke aliyepo mtandaoni anashida na mwanaume

I don't need a potential partners in JF napenda kushare ideas basi waliojifanya marafiki PM ndo wanakuja kukutana na kukuzalisha why wasted my time, majority ni mitongozo tu naona basi.
pole dear nakutana na watu wengi jf na ni marafiki wazuri
 
Dah kumbe mwatafta ndugu loh it's okay kila mtu ana priority zake humu, mie ku comments tu inatosha hayo mengine huwa sio kipaumbele
Hapana hawatafuti ndugu, urafiki unakuwa na kujaliana kama ndugu. Ukiangalia nimesema kama.
 
Hao wa mtaani ndio hao hao waliomo humu mitandaoni.
Humu watu Wana fake tofauti na real life ni rahisi uki meet kumsoma mtu direct. Humu people Wana fake ukijua ni urafiki kumbe ni agenda yake tu kukujua apate a, b, c, humu humu for the first nimekutana na watu wanatikana Hadi PM na ku Force vitu, wakati mtu wa mtaani ni nadra Sana Utopolo huo kutokea.
 
Hata humu kupitia miandiko unajua chenga ni yupi na mchele ni upi.. humu kuwatambua ni rahisi sana kuliko face to face.. Nirudie hakuna sehemu rahisi kujua fake na real kama jf 😀😀😀😀.
 
Humu watu Wana fake tofauti na real life ni rahisi uki meet kumsoma mtu direct. Humu people Wana fake ukijua ni urafiki kumbe ni agenda yake tu kukujua apate a, b, c, humu humu for the first nimekutana na watu wanatikana Hadi PM na ku Force vitu, wakati mtu wa mtaani ni nadra Sana Utopolo huo kutokea.
Lakini bado pm umetupiga pina jana siku nzuma naangaika kukutumia haitaki inasema siwezi kukutumia dah😉
 
Hata humu kupitia miandiko unajua chenga ni yupi na mchele ni upi.. humu kuwatambua ni rahisi sana kuliko face to face.. Nirudie hakuna sehemu rahisi kujua fake na real kama jf .
Humu watu Wana fake unakuta mtu ana I'd karibia kumi na kila I'd anaandika personality flani kwa Lengo lake
 
Humu watu Wana fake unakuta mtu ana I'd karibia kumi na kila I'd anaandika personality flani kwa Lengo lake
Mie hakuna mtu wa JF ambae nimekutana nae nje akawa chenga, na hata akiwa chenga unatia block hapo hapo hakuna kupepesa.. sema tu PM ndio sinaga bahati, ila mtu akileta utoto anakula bock hapo hapo..
 
Hahaaa ndio nimefunga wengi waja PM hawana jipya tu kwa kweli why waste my time
Ndio maana nilifikiri netwrork error.. ukiona zile record, nimetuma pm kwako zaidi ya mala 40 zinagonga mwamba haya bwana.. asante kwa kututenga watoto wa kiswazi
 
Pole bidada ila hiyo kadhia ipo mitandao yote ya kijamii. Ukiwa mdada utasumbuliwa na wanaume, hiyo ni 22/7, uwe mbaya au mzuri wadau watakuja inbox tuuu.
Poleni sana kina dada kwa hilo. Na halitaisha leo baada ya uzi huu. Hapo ni kama umechochea motoo
ni mazoezi tu
 
Back
Top Bottom