Wanaume wa mikoani mbwembwe kibao kumbe kazi zenu ndo hizi!

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
1477900894801.jpg

Hivi wanaume wa Dar mtaacha lini kutushobokea!
Hadi muache ushamba!!juzi kuna mwingine nimepanda nae magari ya mwendo kasi nimempa tiketi tukapanda pale tulipoenda kushukia tumeshuka nikamuona mbio eti anampelekea suka kile ki tiketi yaani alinitia aibu sana!!
 
Haha..ulimwelewa vibaya . jamaa kuna mtoto alimwelewa ndani bus do alikua anaenda kuchukua namba
 
hii vita ya wanaume wa Dar VS wanaume wa mikoani mbona imekaa kishogashoga? sasa nikiona mtu anabishana tena baada ya comment hii, H U Y O N I S H O G A
 
Hadi muache ushamba!!juzi kuna mwingine nimepanda nae magari ya mwendo kasi nimempa tiketi tukapanda pale tulipoenda kushukia tumeshuka nikamuona mbio eti anampelekea suka kile ki tiketi yaani alinitia aibu sana!!
Huyo ni mtu mpenda usafi na hakuona dustbin, hivyo akaona bora uchafu ambabidhi dereva. Hapo mshanba ni wewe uliyetupa chini tikti yako.
 
Back
Top Bottom