Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

Wee kigovi uwe na adabu don't call stupid kama huwezi kutumia lugha ya kiungwana soma na upite there is no necessity of commenting.
Did i call u stupid! Come on!.I said how stupid!.Now you are behaving like a fool.Silly you!
 
Yan wewe ndo zero kabisa, ushaliwa tena yawezekana umeliwa na tigo ndo maana umekuja na poooovu! Pole hao ndo wanaume uliokutana nao, ulifikiri ule pesa zao bila kuliwa?
Atakuwa kanywa bia za watu wakamla mpaka tigo.
 
Did i call u stupid! Come on!.I said how stupid!.Now you are behaving like a fool.Silly you!
Go and call your parents that they are acting like fools and are silly parents for not teaching you how to use certain words and to whom
 
Wivu hakuna cha ukweli wowote waambie wazazi wako pia wanunue!
Unapo niambia niwaambie wazazi wangu wanunue unajua walifariki miaka mingapi iliyopita ? Nina imani kwa comment yako hii ulikuwa hujazaliwa.Usiwe unapenda kutumia lugha za kuudhi.Inaelekea malezi yako yalikuwa na mushkeli kwamba mahali unapoishi mazungumzo yenu muda mwingi siyo ya kiungwana
 
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
Pole mkuu.. Hao wanaume uliokutana nao kweli sio kabisa
Lakini pia usuchukulie kwamba wanaume wote wanafana... maana wanaume wanaojielewa bado wapo wengi tuu siku hizi

Wanawake sijui tunakoseaga wapi😆😆😆
 
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.

kuna jambo walikufanyia ili baki kusema tu wanaume wote ni mbwa.pole kwa kuchagua chagua
 
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.

Hahahaha ujue mpaka Leo nasoma ile thread yako ujue! Bado hujaleta mrejesho mpaka Leo. anyway nasubiri majibu ya hao uliowasema
 
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
Wengi watakushambilia ila ujumbe umefika na ukweli unauma utegemee mashambulizi hatari!
 
Hii ndiyo gharama ya kujaribu kuwa mjinga!

Wewe ni wa ajabu kama ulivyo Uzi wako.

Imenibidi nichangie tu!
Mshikaji mbona yuko sawa tu?si tupo mjini tunayaona..kuna msela yeye hana hata baiskeli lakini hua kaning'iniza funguo za gari kwenye luksi ya suluari yake na anashinda na madalali wa magari,ukimuona anatembea utajua kashuka airport kutokea Mississipi America.
 
Back
Top Bottom