Nondoh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 298
- 478
Ijumaa nilienda ofisini kwa rafiki yangu. Mda mchache wakaanza kuja wadada. Akaanza mdada wa kwanza akasalimia akajibaraguza akasepa, akaja wa pili, wa tatu,... Wote wanakuja kwa style tofauti tofauti lakini wanasalimia wanajibaraguza wanasepa wakiona no positive response.
Mwishoni nikamuiliza mshikaji mbona hawa watu wanahangaika akaniambia nikupe mmoja nikamjibu hawa si wake za watu. Akacheka akaniambia haya yote majimbo huru ni wewe tu. Ikabidi nimdadis zaidi. Jibu alilonipa nilichoka. Alisema kila penye wanawake watumishi kumi mmoja ndo kaolewa tisa hawajaolewa na wengi wameamua kuzaa tu baada ya kusubilia hadi jua linazama.
Na akanitonya zaidi kuwa watumishi wengi wanaume wameoa na wamewaacha wake zao makwao na kuendeleza kula bata wakiwa huru
Hapa najiuliza hivi kwanini wanaume wa maofisini hamuwaoi mate wenu wa maofisini. Hivi hamjisikii raha unaenda ofisini unaambatana na mke ofisi moja. Au mnaogopa kupoteza uhuru wa manyani.
Wanaume waoeni hawa wadada manake mnachangia sana wao kuwa desperate na kupelekea wengine kuokoka kwa kujitumbukiza kwa wachungaji michwa, wengine kuwa walevi hadi utu wa mwanamke unapotea, wengine wanakuwa karibu mtumishi mgeni.