Wanaume wa kisasa na kutingisha makalio

Wewe ni dada lakini kiuno na matako yako vinazidiwa na vijana/wanume wa siku hizi.Hata mademu zao wanalalamika hawana nguvu/stamina vitandani.Yanahema tu kama kitimoto.

Mijamaa rijali inawapigia videmu vyao kwa siri siri sana.

Nyambafu sana wanaomponda mleta uzi.
Na mie nashangaa Mkuu. Hadi wamenifanya niwaze wanatembeaje. Teh teh
 
Siyo bure... Huwa unaanzaje kuwaangalia? Huwa unafikiria nini mpaka unaangalia makalio ya mwanaume mwenzio. Nini kiko kwenye ubongo wako? Jitathimini.
stephot,
 
Siyo bure... Huwa unaanzaje kuwaangalia? Huwa unafikiria nini mpaka unaangalia makalio ya mwanaume mwenzio. Nini kiko kwenye ubongo wako? Jitathimini.
Kwahiyo mkuu mwanaume akiwa mbele yako anatingisha makalio huwa unafumba macho?sijakugusa wewe mkuu,ila kama na wewe ni muhusika endelea tu na hiyo tabia,ila nimesema kuna baadhi ya wanaume,na kama wewe ni mmoja wapo na unaona nimekugusa uniwie radhi.......
 
Kuna mambo mengi sana naona kila siku lakini ubongo hauyarekodi kwa vile hauna interest nayo kama wadudu, ndege, mchanga, magari... Naweza kuwa nimeona watingishaji lakini ubongo wangu haukuona umuhimu wa kurekodi tako la dume mwenzangu.
Kwahiyo mkuu mwanaume akiwa mbele yako anatingisha makalio huwa unafumba macho?sijakugusa wewe mkuu,ila kama na wewe ni muhusika endelea tu na hiyo tabia,ila nimesema kuna baadhi ya wanaume,na kama wewe ni moja wapo na unaona nimekugusa uniwie radhi.......
 
Wadau kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume,unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake,sasa ngoja aanze kutembea ndio utaona hilo balaa.Sina uhakika hii inatokana na aina ya mavazi wanayovaa,ni fashion au ndio maumbile ya vijana wa kiume wa siku hizi ambayo inatokana na vyakula wanavyokula....?
Wewe utakuwa na element za ushoga si bure. Sasa maumbile ya mtu yanakuhangaisha nini?
 
Wewe ni dada lakini kiuno na matako yako vinazidiwa na vijana/wanume wa siku hizi.Hata mademu zao wanalalamika hawana nguvu/stamina vitandani.Yanahema tu kama kitimoto.

Mijamaa rijali inawapigia videmu vyao kwa siri siri sana.

Nyambafu sana wanaomponda mleta uzi.
So what? Unajihakikishiaje kuwa wewe hutapigiwa na hao unaowaita rijali? Jidanganye tu eti ukijipinda saaana ndio kumzuia mkeo/mpenzi wako asipigwe na wengine.
 
Maumbile tu, kuna wengine wapo hivyo na vimavazi vya siku hizi sasa ukiwa na kitako kikubwa kidogo ukavaa kisuruali cha kubana lazima katako kaonekane,

Unajua hata mwanamke asiye na tako kubwa akivaa kisuruali cha kubana kitako kinakuja kinafiki. Maumbile ni mengi ndo mana kuna mwanamke mwenye tako na kalio.
 
Wadau kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume,unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake,sasa ngoja aanze kutembea ndio utaona hilo balaa.Sina uhakika hii inatokana na aina ya mavazi wanayovaa,ni fashion au ndio maumbile ya vijana wa kiume wa siku hizi ambayo inatokana na vyakula wanavyokula....?
kwa mbali naona madhara ya wanaume kutelekeza watoto kwa mama zao na wanawake kun'gan'gania kuwa na mtoto mmoja na kuongozana naye au wakati mwingine kulala naye kama mtoto mpaka umri mkubwa na matokeo yake kushindwa kufuata maadili ya kiumeni.
kifupi tunahitaji JANDO
 
Back
Top Bottom