Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,270
- 40,085
Watakuwa ni wa kiume hao
Na mie nashangaa Mkuu. Hadi wamenifanya niwaze wanatembeaje. Teh teh
Kwa hyo we hata wanaume wenzako wakikupita au mkipishana nao unageuka kuwaangalia nyuma????
Hizo nidanadana/mbwembwe/miondoko/swaga ndio mwisho wasiku wanajikuta matako yanarukaruka kama karanga
Kumbe hata wewe umeliona hilo Shadeeya eeh?Na hii ndio Jf ya siku hizi yaani akishapost wa kwanza against basi mtiririko ndio utakuwa huo mpaka mwisho.
Tubadilikeni bana sababu wapo hao watu.
Ndio nimeliona.K
Kumbe hata wewe umeliona hilo Shadeeya eeh?
Kwahiyo mkuu mwanaume akiwa mbele yako anatingisha makalio huwa unafumba macho?sijakugusa wewe mkuu,ila kama na wewe ni muhusika endelea tu na hiyo tabia,ila nimesema kuna baadhi ya wanaume,na kama wewe ni mmoja wapo na unaona nimekugusa uniwie radhi.......Siyo bure... Huwa unaanzaje kuwaangalia? Huwa unafikiria nini mpaka unaangalia makalio ya mwanaume mwenzio. Nini kiko kwenye ubongo wako? Jitathimini.
Kwahiyo mkuu mwanaume akiwa mbele yako anatingisha makalio huwa unafumba macho?sijakugusa wewe mkuu,ila kama na wewe ni muhusika endelea tu na hiyo tabia,ila nimesema kuna baadhi ya wanaume,na kama wewe ni moja wapo na unaona nimekugusa uniwie radhi.......
MACHO HAYANA PAZIA JIBU SWALIKwa hyo we hata wanaume wenzako wakikupita au mkipishana nao unageuka kuwaangalia nyuma????
Wewe utakuwa na element za ushoga si bure. Sasa maumbile ya mtu yanakuhangaisha nini?Wadau kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume,unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake,sasa ngoja aanze kutembea ndio utaona hilo balaa.Sina uhakika hii inatokana na aina ya mavazi wanayovaa,ni fashion au ndio maumbile ya vijana wa kiume wa siku hizi ambayo inatokana na vyakula wanavyokula....?
So what? Unajihakikishiaje kuwa wewe hutapigiwa na hao unaowaita rijali? Jidanganye tu eti ukijipinda saaana ndio kumzuia mkeo/mpenzi wako asipigwe na wengine.Wewe ni dada lakini kiuno na matako yako vinazidiwa na vijana/wanume wa siku hizi.Hata mademu zao wanalalamika hawana nguvu/stamina vitandani.Yanahema tu kama kitimoto.
Mijamaa rijali inawapigia videmu vyao kwa siri siri sana.
Nyambafu sana wanaomponda mleta uzi.
Ndiyo, hiyo ni sababu ya kula sana kitimoto. Frankly speaking.
Acha kukihusisha kitimoto na mambo ya kishenzi.
kwa mbali naona madhara ya wanaume kutelekeza watoto kwa mama zao na wanawake kun'gan'gania kuwa na mtoto mmoja na kuongozana naye au wakati mwingine kulala naye kama mtoto mpaka umri mkubwa na matokeo yake kushindwa kufuata maadili ya kiumeni.Wadau kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume,unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake,sasa ngoja aanze kutembea ndio utaona hilo balaa.Sina uhakika hii inatokana na aina ya mavazi wanayovaa,ni fashion au ndio maumbile ya vijana wa kiume wa siku hizi ambayo inatokana na vyakula wanavyokula....?