Wanaume wa kisasa na kutingisha makalio

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,765
22,762
Wadau,

Kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake sasa ngoja aanze kutembea ndio utaona hilo balaa.

Sina uhakika hii inatokana na aina ya mavazi wanayovaa, ni fashion au ndio maumbile ya vijana wa kiume wa siku hizi ambayo inatokana na vyakula wanavyokula...
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom