ndo kazi tulobakiza kujuzana!!!! Mmh haya jamani mjuzeni!!
good kwa kuweka sawa hapo manake hata alieanzisha hii thred kaingia mitini na sijui kwa nini.Wadigo wapo TANGA! Kama ni WANGINDO wapo LINDI.
mi ntamuomba md awatengee nafasi yao ya kujuzwa tabia za wanaume wa kabila flani maana du!!umeona eeeeee!...nafikiri ndio style ya cku hizi,..mara kesho utasikia mtu anataka kuja tabia za kikwere
tedo @ hawa ni wa kucharazwa tu bakora za masabulini!!hivi kweli badala ya kujiuliza hili jini ccm litatutoka lini halafu wewe unaaanza kuuliza habai za wanaume wa kidigo!!!! kuna mambo mengi ya kuuliza wana jf ala!!!
mi ntamuomba md awatengee nafasi yao ya kujuzwa tabia za wanaume wa kabila flani maana du!!