Wanaume wa kibongo tumieni fursa hii ya uhaba wa wanaume Ukraine

Giltami

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
892
1,232
Katika pitapita mtandaoni nikajikuta mtandao fulani kutoka taifa la Ukraine wananishawishi nijiunge na mtandao huo ilinichukua dk chache tu kujiunga cha ajabu ni kwamba baada tu ya kujiunga nilikuta message nyingi sana.

Wadada na wamama wakiomba tuwasiliane wengine tuonane ikanibidi nifanye utafiti mfupi inaonekana taifa hili lina uhaba wa wanaume rijali.

Sasa wabongo tumieni fursa hii kuwaliwaza wanawake wa Ukraine.
93d5481ee9dc290f22c17e62eca88042.jpg
 
Katika pitapita mtandaoni nika]kuta mtandao fulani kutoka taifa la Ukraine wananishawishi nijiunge na mtandao huo ilinichukua dk chache tu kujiunga cha ajabu ni kwamba baada tu ya kujiunga nilikuta message nyingi sana wadada na wamama wakiomba tuwasiliane wengine tuonane ikanibidi nifanye utafiti mfupi inaonekana taifa hili lina uhaba wa wanaume lijali sasa wabongo tumieni fursa hii kuwaliwaza wanawake wa Ukraine.
93d5481ee9dc290f22c17e62eca88042.jpg

Nani alikwambia watakukubali?
 
Hiyo hamna kitu, hiyo kuchangamkia na wanawake ni kukushawishi ila utajikuta unaliwa hela kizembe.. Maana ukituma sms, kutaka contacts ya mtu, kuview picha n.k wanataka uwe na credits, na hizo credits unanunua.

Kama sijakosea huo mtandao unaitwa victoriabribes..
 
Katika pitapita mtandaoni nika]kuta mtandao fulani kutoka taifa la Ukraine wananishawishi nijiunge na mtandao huo ilinichukua dk chache tu kujiunga cha ajabu ni kwamba baada tu ya kujiunga nilikuta message nyingi sana wadada na wamama wakiomba tuwasiliane wengine tuonane ikanibidi nifanye utafiti mfupi inaonekana taifa hili lina uhaba wa wanaume lijali sasa wabongo tumieni fursa hii kuwaliwaza wanawake wa Ukraine.
93d5481ee9dc290f22c17e62eca88042.jpg
Hahahahahaha dah kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom