Wanaume wa kibongo tumieni fursa hii ya uhaba wa wanaume Ukraine

sio mtandao wa kupigishana nyeto tu na kuachana, UKRAIN hata pass sina, mi nilijua bongo, ndo wengine wanakuwaga ma shemale, unafika huko unakuta uliyemfuata ana mashine kubwa mara tatu ya yakwako na ushakula vyake cjui unarudije
 
Katika pitapita mtandaoni nika]kuta mtandao fulani kutoka taifa la Ukraine wananishawishi nijiunge na mtandao huo ilinichukua dk chache tu kujiunga cha ajabu ni kwamba baada tu ya kujiunga nilikuta message nyingi sana wadada na wamama wakiomba tuwasiliane wengine tuonane ikanibidi nifanye utafiti mfupi inaonekana taifa hili lina uhaba wa wanaume lijali sasa wabongo tumieni fursa hii kuwaliwaza wanawake wa Ukraine.
93d5481ee9dc290f22c17e62eca88042.jpg
Mwezi wa tatu huu Niko na mzungu wa huko anataka kuja bongo anasema nasikia mlima Kilimanjaro anataka kuja kuuangalia Ila uwezi kuchat nao kama hujanunu point ukijiunga tu wanakupa free credit kama Mia hv za kuchat nakila ukichat wanakata zile credit zikiisha Hauwezi kuchat nao mpaka upgrade kwa kununu credit kwa kutumia MasterCard, PayPal etc jipange Hakuna cha bure
 
Sio wataendelea wanapigwa hadi sasa ndio maana sijataja ni mtandao gani.
Kupigwa utake wewe Kuna njia rahisi Sana unaingia bila hata cent tano ukileta kimberembere na kimastercard chako wanapiga hela za kutosha
 
Kupigwa utake wewe Kuna njia rahisi Sana unaingia bila hata cent tano ukileta kimberembere na kimastercard chako wanapiga hela za kutosha
Unajua nchi zetu matumizi ya mitandao kwa umakini bado hatuja endelea sana ila ukiwa makini unawageuza fursa kwako kabla hawajakugeuza ww fursa.
 
Unajua nchi zetu matumizi ya mitandao kwa umakini bado hatuja endelea sana ila ukiwa makini unawageuza fursa kwako kabla hawajakugeuza ww fursa.
Kuna kasoftware nakamlizia Hawa weupe wataelewa somo ni mwendo wa kapiga za kwako wakijifanya wameshtuka kuifuatilia inajiblocked ukiisumbua Sana inakuchapa kirusi lazima uilete pay shenzi kabisa
 
Back
Top Bottom