Wanaume wa kibongo tumieni fursa hii ya uhaba wa wanaume Ukraine


Giltami

Giltami

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Messages
638
Likes
730
Points
180
Age
49
Giltami

Giltami

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2017
638 730 180
Katika pitapita mtandaoni nikajikuta mtandao fulani kutoka taifa la Ukraine wananishawishi nijiunge na mtandao huo ilinichukua dk chache tu kujiunga cha ajabu ni kwamba baada tu ya kujiunga nilikuta message nyingi sana.

Wadada na wamama wakiomba tuwasiliane wengine tuonane ikanibidi nifanye utafiti mfupi inaonekana taifa hili lina uhaba wa wanaume rijali.

Sasa wabongo tumieni fursa hii kuwaliwaza wanawake wa Ukraine.
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,184
Likes
39,538
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,184 39,538 280
Ushaopoa wangapi hadi sasa?
 
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,466
Likes
7,661
Points
280
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,466 7,661 280
una toa taarifa nusu nusu haisaidii, ungesema mtandao unaitwaje ili tujiunge huko tunaweza pata pa kuanzia kwenda huko
 
Bushbaby

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
1,598
Likes
115
Points
160
Bushbaby

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
1,598 115 160
Kuwaambia watu watumie fursa wakati hujawapa link ndio nini sasa??
 
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Messages
4,597
Likes
5,943
Points
280
Age
28
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2014
4,597 5,943 280
wapenda kitonga lazima wapigane vikumbo
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,717
Likes
3,396
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,717 3,396 280
Ngoja mkutane na wapopo mkidhani ni Wa-ukraine
 
yajutu

yajutu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
863
Likes
961
Points
180
Age
29
yajutu

yajutu

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
863 961 180
Toa link tuchangamkie fursa
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,555
Likes
18,094
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,555 18,094 280
Katika pitapita mtandaoni nika]kuta mtandao fulani kutoka taifa la Ukraine wananishawishi nijiunge na mtandao huo ilinichukua dk chache tu kujiunga cha ajabu ni kwamba baada tu ya kujiunga nilikuta message nyingi sana wadada na wamama wakiomba tuwasiliane wengine tuonane ikanibidi nifanye utafiti mfupi inaonekana taifa hili lina uhaba wa wanaume lijali sasa wabongo tumieni fursa hii kuwaliwaza wanawake wa Ukraine.

Nani alikwambia watakukubali?
 
Tater

Tater

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
4,329
Likes
10,612
Points
280
Tater

Tater

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
4,329 10,612 280
Hiyo hamna kitu, hiyo kuchangamkia na wanawake ni kukushawishi ila utajikuta unaliwa hela kizembe.. Maana ukituma sms, kutaka contacts ya mtu, kuview picha n.k wanataka uwe na credits, na hizo credits unanunua.

Kama sijakosea huo mtandao unaitwa victoriabribes..
 
boyfriendy

boyfriendy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2012
Messages
1,954
Likes
660
Points
280
boyfriendy

boyfriendy

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2012
1,954 660 280
Katika pitapita mtandaoni nika]kuta mtandao fulani kutoka taifa la Ukraine wananishawishi nijiunge na mtandao huo ilinichukua dk chache tu kujiunga cha ajabu ni kwamba baada tu ya kujiunga nilikuta message nyingi sana wadada na wamama wakiomba tuwasiliane wengine tuonane ikanibidi nifanye utafiti mfupi inaonekana taifa hili lina uhaba wa wanaume lijali sasa wabongo tumieni fursa hii kuwaliwaza wanawake wa Ukraine.
Hahahahahaha dah kazi kweli kweli
 
Giltami

Giltami

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Messages
638
Likes
730
Points
180
Age
49
Giltami

Giltami

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2017
638 730 180
una toa taarifa nusu nusu haisaidii, ungesema mtandao unaitwaje ili tujiunge huko tunaweza pata pa kuanzia kwenda huko
Sheria za jf mkuu ningekuwekea Rink ntakutumia PM.
 
pem

pem

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
784
Likes
664
Points
180
pem

pem

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
784 664 180
Kuwaambia watu watumie fursa wakati hujawapa link ndio nini sasa??
Ndo nashangaa mambo mengine ya ajabu sana au anataka mumfate PM au awaambie mumpe hela ndo atoe link
 
pem

pem

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
784
Likes
664
Points
180
pem

pem

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
784 664 180
Kwanza ni utapeli tu hamna lolote hapa
 
Giltami

Giltami

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Messages
638
Likes
730
Points
180
Age
49
Giltami

Giltami

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2017
638 730 180
Sasa kama pasua kichwa mbona unaalika watu?
Nimeona niwasaidie kidogo wanawake wa huko kupata solution ya tatizo lao kwangu ni pasua kichwa haimaanishi ni kwa wote.
 

Forum statistics

Threads 1,251,174
Members 481,585
Posts 29,761,026