Wanaume wa Kibongo tujifunze kuhonga, huyu jamaa kamnunulia Zari Range Rover wakati hata namba yake hana

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,424
IMG_20180511_175219_815.jpg
Huyu jamaa wa Kenya amenunulia Zari the boss mother gari aina ya range rover ya mwaka 2017 na amemuomba radhi sana kwa kushindwa kununua gari nyeupe badala yake amepata nyeusi,huyu jamaa hana hata namba ya Zari na hata hajawahi kumuona,pia amedai kama atakuwa na uhitaji wa figo asiache kumcheki.
IMG_20180511_073002_767.jpg
IMG_20180511_072945_245.jpg



UPDATES WAKUU
Aliyetangaza kumnunulia Zari Range Rover Sport 2017 ala za uso – Bongo5.com
 
Back
Top Bottom