Wanaume wa kiafrika waishio Asia, hu-date na asian girls wa low quality..

Unazungumzi

Unazungumzia Asia ipi Mkuu maana hawa Watu wanatofautiana Sana. Mimi nafanya biashara pande hizo na kuna wanaotafunika kama kawa tu. Kwa mfano Mthailand Ndio Watu malaya zaid Asia wakifuatiwa na waphilipines so Asian wanatabia tofauti. Kingine kwa asili Watu wa Asia Sio kama sisi kwenye ngono anaweza kukaa hata miaka 2 bila ngono na Hakuna shida na hata wakigongana Ni kimoja hata dakika 10 nyingi

Especially indians na koreans, hawa ndo nawazungumzia kitali
 
Hili swala halijaanza leo,
lilianza tangu enzi ya wahenga,
ndomana kukazuka makundi mawili ya wahenga wakibishana wengine wanasema ''utamaliza bucha nyama ni ileile''
huku wahenga wabishi wakawajibu kwamba ''Nyama ni ileile ila mapishi ni tofauti''...
Ni kizungumkuti aisee
Hapo kuna hoja 3 kinzani zenye kuibua maswali damisi nakula bucha,nyama au mapishi?
 
Ipo hivi mweusi akioa/kuolewa na mweupe(mzungu, muarabu au Asian) anakua ame-upgrade na mweupe kuoa/kuolewa na mweusi ame-downgrade. Hii ni Duniani kote

Weusi walio wengi ndoto zao ni kuoa/kuolewa na weupe, kila siku humu JF na mitaani watu wanatafuta wenza wazungu na kulalamika mbona wahindi na waarabu wapo wengi bongo ila hawataki tuwaoe. In contrast, weupe hawataki, wao kuoa nje ya race zao ni downgrade na disgrace to the family. Mzungu akioa muarabu ni disgrace, muarabu kuoa muasia ni downgrade, muasia kuoa mweusi ni aibu.

Toka interracial marriages ziruhusiwe US idadi ya black men waliooa weupe ni kubwa kuliko idadi ya race zingine zote waliooa nje ya race zao combined.

Last week Dr Umar Johnson (Pan africanist) alisema mweusi yeyote ambaye hajaoa mweusi hawezi kumuheshimu weusi walipanic balaa na kumtukana kila aina ya tusi as though kuoa mzungu ni achievement fulani.

Bado tuna utumwa wa fikra tunaamini hatujakamilika hadi tujinasabishe na weupe.
 
Brazil nasikia walihimiza wazungu waoane na weusi ili kuondoa weusi pure, ndio maana leo Brazil machotara ni wengi kuliko wale pure, na chotara nyingine complicated sana
 
Nashindwa kukujibu sababu umegeneralize bara zima lenye ethnicity na nchi nyingi tafauti,Asia kuna waarabu,wachina,wajapan,wathai,wamalay,warusi,wahindi,wafursi na wengineo wengi.research yako umeifanyia wapi?.Mie nmeishi China,thailand,malaysia,singapore na indonesia,kote huko nimetoka na mabinti first class,nachofahamu mimi aina ya mwanamke utakayekuwa naye inatokana na wewe mwenyewe ulivyo.kama ukiwa bongo ulikuwa unatoka na wabovu basi hata nje ya nchi itakuwa hivyo hivyo,wanawake wote duniani wanavutiwa na sifa zinazofanana with minor differences,sasa usitegemee kupata mademu wazuri kirahisi ilhali huna vigezo
 
Brazil nasikia walihimiza wazungu waoane na weusi ili kuondoa weusi pure, ndio maana leo Brazil machotara ni wengi kuliko wale pure, na chotara nyingine complicated sana
Ni kweli na katika hiyo process weusi walifurahia sana huku wazungu wengine wakionesha kutopendezwa. Sasa Brazil ni 50.7% whites and the rest ndo races zingine biracial, blacks etc

Mtu mweusi hajiamini Kama kakamilika hadi ajinasabishe na mzungu, mweusi preference yake ni mzungu na mzungu preference yake ni mzungu kwanza.
 
soul provider umenikumbusha miaka hiyo 2005 ndio namaliza Advance na katamthilia kazuri Ina Makaspak na Anjelo... daaa ........................... la nyingine ilikuwa Secreto de Amor da.................... bas ilikuwa full kupeana hayo majina na vidosho aseeeee umenikumbusha mbaliiii jamaa :( i wish siku zirudi zile nile wale wadada wa kipindi kile walikuwa watam mnooo
Zilikuwa tamthilia pendwa kwa kweli. Kipindi hicho TBC ilikuwa ikiitwa TVT
 
Kama nlivoandika kwenye post yangu, asians wengi wana-prefer skin color nyeupe, espcly south east asians kama vile wasingapore, wahindi, wachina, wathailand etc hata wao kwa wao sometimes hudharauliana na kubaguana sababu ya rangi, dark skinned asians wanaonekana ni watu wa low class..ila kama haujakaa nao mda mrefu huwezi ukawasoma kuwa wana-prefer fair skin chinchilla cocha
dark skin ipo associated na umasikini na ujinga
 
Back
Top Bottom