richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,467
- 3,487
Heheeeee halooo
Jana hiyoo jamaa kwa mda mreeefu alikuwa analia lia pm hapa jf nakupenda nyiingi wakati hanijui na mimi simjuii
Nikaona isiwe tabu naweza nikawa natupa almasi kwenye tundu la choo buree. Hee tukapanga tukutane bar moja hivi kwa maongezi ya hapa na pale ili atoe yake ya rohonii
Mhhh!!! Na mimi nlielewa mapema hapa ni mjini mtoto wa kike unaweza ukajipeleka hovyo hovy tena kwa mtu usie mjua ukaishia kuwekewa madawa kwenye kinywaji then ukaenda kupigwa mzigoo.
Nkasema asintaniie heheeee!! Hallooo
ikanibidi niwachukue mabest zangu wawili watoto wa kizaramo hao "Lailati" na "Asnati kiunofeni" ili wanipe kampani siku hiyo
Tukajipanga kabisa tukifika eneo la tukio siku hiyo hamna kuwa na huruma ya kuagiza vibia vya watoto. Nikawaambia ni mwendo wa kuagiza Heineken/Amarula/Grants+Nyamachoma kwa kwenda mbele yaani ni mwendo wa kumtumbua hadi awe na adabu.
Yote hayoo nikijua vidume vya jf vina pesa chafu. Heheeeeeee
"Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza wallah"
Ikafika siku ya tukio mtu tatu tumeshajipanga kwenda kumtumbua mtu hapo. Tukawasiliana eneo alilopo na wakati hayo yoote yakiendelea alikuwa hajui kama nna kampani ya rafiki zangu hivyo nilifanya kama surprise yani
Ile kufika hadi meza aliyopo jamaa macho yakamtoka huku akiwa na woga akashangaa mtu tatu zote vipi. Nikamwambia kuwa wale ni mabest zangu hivyo asihofu.
Heheeeeeiyaaaaaaaaaaa
Jamaa akamwita mhudumu atuhudumie vinywaji mda huo huo akamwita na mhudumu wa jikoni na uzuri wa ile bar hawadai hela papo hapo but baada ya matumizi unaletewa bili yako ulipe
Basi mimi nikaagiza Dompo mezani, Asnati akaagiza Heineken mbili baridii mezani na lailati akaagiza Amarula huku tukisubiria nyama ya mbuzi kilo mbili kutoka jikoni.
Yaani ikawa ni mwendo wa kuagiza tu na kama kawaida watoto wa mjini hatulewagi ikawa ni mwendo wa nyama na kinywaji tu yaani funika funua
Heheeeeeee!!! Halloooooooo!!!
Ilipofika mida ya usiku wa saa moja jamaa akaletewa bili yake na mhudumu na cha kushangaza ni baada ya kuisoma ile bili alitoa mimacho gafla
Baada ya kuisoma ile bili akatuomba aende kwenye ATM iliyiliyopo eneo la nje karibi na ile bar ili atoe pesa aje alipe ile bili
So nikamwambia asichelewe kurudi ili aje aturudishe nyumbani maana alisema ana usafiri
Heheeeeeeee kumbe bwana yule alituacha pale kama dhamana kumbee bili imemshindaa akaamua kuingia mitini
Bwanaa wahudumu wakaja tena kudai chao ikabidi tusiwe na lakufanya tuulizie bili yenyewe sh ngapi cuz bwana yule hata kwenye sim hakupatikana tena
Tukapewa bili ya sh 235,000 ya vinywaji vyote na vyakula. Acha macho yanitokeeee
Kwenye pochi nlikuwa na 5,000 tu ya nauli na bwana yule kashakimbia. Na mashoga zangu nao walikuwa hawana hela so meneja wa bar walinzi ikabidi watupeleke central tulale polisi hadi wadhamini waje walipe deni ili tutoke
Wanaume wa jf hasa wa dar mnatia aibu jamani
Heheeeeeeeeeee!!!!!!!!
Mxieww