Wanaume wa dsm hao, chips kuku wa kizungu!!!

fd812c4c81984fdcaff27eac06d6013e.jpg
7e4c17b6b46c308a3190dce609f23b5b.jpg
 
NB. Ujiulizi mabango ya waganga wa kienyeji wanaotangaza dawa za kiume yamejaa mjini mikoani hakuna!
 
Kupigwa picha ni jambo moja na kuanikwa kwenye mitandao ni jambo lingine... jitafakali,,,,
Oyaaa achana na mimi hunijui sikujui, na wala huyo jamaa kwenye huu uzi aliowekwa umjui ndio maana nikakuuliza una uhakika labda ni jamaa yangu wa karibu, au unatafuta kiki.
 
Ndio mana matangazo ya cement,nondo na konyagi tunafanya sisi wa mikoani,wanaume wa dar wanaishia kwenye maji na chips snack
 
Imani potofu
Mwanaume ni mwanaume acheni kuwa na fikra finyu.
Tunatofautiana maisha kwa kiasi kidogo,
Acheni mabishano yasiyo na mantiki.

Home of the great thinker..
 
Haya mambo ya fb yamehamia jf? masuala ya kuuza sura bakini nayo huko fb bhana
Wee umemuona huyo alivyokuwa, ananiuliza mimi jinsia gani na akathubutu kuniambia mimi mwanamke, ndio nikamjibu kwa hiyo picha au usomi comments mkuu unapayuka tu!
 
Wivu tu!
Waache wajilie tu wawaongezee kipato waganga wa dawaza kuongeza nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom