hata baba yako analiwa... usiwe na wasiwasi.wew hata jina lako lina kutambulisha.
hiyo 071 nawew waliwa sio bure.
Maelezo yako yenyewe yanaonyesha ulivyo laiiiiiiiniNdugu zangu wanaume wenzangu tunaoishi na kufanya shughuli zetu hapa Dar, sasa hivi tumekuwa tunashambuliwa mno mitandaoni na watu wa mikoani hasa wanaume wenzetu wanaoishi mikoani na pia hata wanawake wa huko mikoani. Wamekuwa wakitudhikahi kuwa sisi tumekuwa laini laini, lonya lonya tusioweza kazi nzito nzito, tusiopenda kabisa kutoka jasho na kupenda kazi nyepesi na vitu soft soft. Imefikia hatua wanasema kuwa hata wanawake zetu eti 'hatuwawezi' tena kwa kuwa tumekuwa soft, hatuna nguvu na hatutaki kutoka jasho hali ambayo imetupelekea kuwa wazee wa 'nyundo moja' kwenye sita kwa sita then hapo ni kulala au bize na simu au kutazama mpira. Wanaume wenzetu wa mikoani wameenda mbali zaidi kuwa wanawake zetu siku hizi wanapanda mabasi kuwafuata wao huko mikoani kufuata 'show za kibabe' then wanarudi kwetu huku Dar. Inadaiwa wao ndio wazee wa kazi ngumu, wavuja jasho, wala dona na hawazijui kabisa chips ndio maana show zao ni 'Kazi Kazi'. Wanadai kuwa sisi hata kutembea siku hizi hatuwezi, yaan umbali mfupi kutoka Magomeni Mwembe Chai hadi Magomeni Usalama tunachukua bodaboda, bajaji au daladala na siku hizi tunarequest UBER tu inakuja fasta. Sasa ndugu zangu tunafanyeje? Ni kweli hilo tatizo lipo? Je Tuache kula Chips na Sembe? Na hawa ndugu zetu wa mikoani wazee wa dona tuwajibu vipi? Kwa maoni yangu naona hawa jamaa wamepotoka aidha kwa kuwaona wapaka poda kwenye video za muziki au bongo muvi sasa wanajua ndio wanaume wote wa Dar tupo hivyo. Mbona sisi ni mashababi tu na tunakamua kazi ngumu. Hivi mnafikiri haya magorofa marefu mnayoyaona kwenye tv huko mikoani yanajengwa hapa Dar si zege lile? Na wanaopiga kazi ni wanaume sisi. Huko mikoani msituchukulie poa kabisa. Hizo Video za muziki na bongo muvi nazoziona kwenye tv msidhani ndio wote. Kazi tunapiga na ndio maana tunawatumia pesa huko mikoani kila mnapotuomba
duuuhPhilipho wa ilejeView attachment 751334
Hapana.Hivi kama mtu umekuja dar kupata services,let say elimu,na wewe unakuwa ni mwanaume wa dar?