Wanaume wa Dar kuna sehemu huwa mnakwama au mm ndiyo mshamba??? Chips kavu na Serengeti?

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,981
14,749
69755055_10156587814083181_2465188829925998592_o.jpg


69435906_10156587814048181_1362074738200936448_o.jpg
 
Kiukweli ni ushamba hapo maji ni lazima then matunda ama juice hafu baada ya break ndo healthy drinking .
 
Msimshambulie sana jamani. Hii habari ya wanaume wa Dar na bla bla zao huwa ni wivu tu wa bush star dhidi ya born town sasa wivu ukizidi una kawaida ya kuona vitu visivyowepo kiuhalisia
 
Back
Top Bottom