Kwa mwanaume wa sasa angetafuta mwanamke mwenye pesa alelewe na mtoto angemuacha na mama yake.Ni kweli
Tunapungua Kwa Kasi ya umeme
Maybe turuhusiwe kuoa wanawake wengi na kuzaa watoto wengi ili tuache hivi vinasaba tutakaponyakuliwa
Ndivyo walivyoumbwa... Cha muhimu zipokee TuFantasy za wanawake kuzielewa ni kazi Sana aisee.
Hao sio wanaume huyo ni tuvulana na tu-bebiKwa mwanaume wa sasa angetafuta mwanamke mwenye pesa alelewe na mtoto angemuacha na mama yake.
Akiwa hvyo anamuona bwege,hawa viumbe ni balaa sanaFantasy za wanawake kuzielewa ni kazi Sana aisee.
Acha hizo mamdogo mbona siku hizi watu kulelewa imeisha au kupungua watu mbona tunafanya kazi hapa mjiniWa mjini analelewa na shangingi eeh
. Huko kwenu ndio hawapoWalishapotea hawapo tena hao, tulikosa Bahat aisee