Wanaume wa aina hii wanapotea kwa kasi sana duniani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1622697408735.png
 
Ni kweli

Tunapungua Kwa Kasi ya umeme

Maybe turuhusiwe kuoa wanawake wengi na kuzaa watoto wengi ili tuache hivi vinasaba tutakaponyakuliwa
 
Ni kweli

Tunapungua Kwa Kasi ya umeme

Maybe turuhusiwe kuoa wanawake wengi na kuzaa watoto wengi ili tuache hivi vinasaba tutakaponyakuliwa
Kwa mwanaume wa sasa angetafuta mwanamke mwenye pesa alelewe na mtoto angemuacha na mama yake.
 
Huu ni ushamba na sio ugentleman....halaf pia Ni kukosa maarifa kama mwanaume utafanyaje kikazi cha hvyo wakat kuna kazi nyngne za maana Bora hata ulime au kusukuma mkokoten kuliko kufanya upuuzi Kama huo.
 
Hiz mambo mda mwingne inategemea na mila za eneo/kabila husika, mfano kwetu wahaya ilikuwa ni aibu mwanamke kupasua ama kwenda kuchanja kuni wakat mwanaume yupo ndani ndio maana ukitembelea maeneo ya bukoba/mleba vijijin ni jambo la kawaida sana kumkuta mwanaume kabeba kuni kichwan huku mke wake kamsaidia kubeba panga, ila tukiwa mjini sasa tunajidai kuukana utamaduni wetu
 
Back
Top Bottom