Aisee.Bado sijaoa had nmalze mamb yangu ndo ntaoa
sasa watapigaje shoo wakikatwa kitendea kazi?Mimi nina mapendekezo wanaume wawe wanakatwa vikojoleo baada ya kuoa.
Kabisa mkuu. Yaani unajihangaisha bure tuBora usioe kuliko kuoa huku unachepuka
Kuna mtu anamipango mibaya na sisi wanaume NYOKOOMimi nina mapendekezo wanaume wawe wanakatwa vikojoleo baada ya kuoa.
Ndio tulivyoumbwa sio kama tunahalalisha hata vitabu vya dini vimeonyeshaShoda ubinafsi na uroho umewatawala kiasi mhalalisha zinaa kwa kujidai mwanaume huwezi kuwa na mwanamke mmoja!!!!!
Yeye na awe wa kwanza kukatwa cha kwake!Tukatwe vikojoleo ili uje kutugongea wake zetu? Kumbavu!!!
Kakurupuka baharia,tumsamehe tu.sasa watapigaje shoo wakikatwa kitendea kazi?
Mwanaume anaacha kutamani akiwa amekufa pumzi haifanyi kazi lakini kama moyo unadunda kuhusu kutamani atafanya kwa kujificha tu lakini kazi ipo pale pale ata aoe wanawake mia nane.
Bado sijaoa had nmalze mamb yangu ndo ntaoa
Ukiwa mkubwa utaelewa Kwanini inakuwa hivo
Tamaa kwa mwanaume haziishi, ukiona huna tamaa ya zaidi ya mmoja tambua wewe ni mwanaume ndani ya mwanamke. Usisubiri umalize tamaa uoe utazeeka bure wazuri huzaliwa kila siku unaachaje kutamani.
HAHAHAHAKwanza ya yote je? Wewe umeshaoa au bado uko unatamani.
Tuanzie hapo watakuja na majibu.