Wanaume unaoa huku unajua bado una tamani kila Mwanamke, unataka uwe na mahusiano naye

Bado sijaoa had nmalze mamb yangu ndo ntaoa
Aisee.

Mambo yako hayo hayataisha.

Wanaume tumeumbiwa Tamaa, toka enzi na enzi.

Tunachofanya sikuhizi ni ustaarabu na kuita kuelimika. Kuwa ni vema kuwa na mke mmoja na usichepuke.

Wenye Iman ,Dini na maadili mema wanaweza.

Na wanaoa mapema kabisa ili wajenge familia.
Sasa ww na 34 yako bado tu.
Wakat ulitakiwa uwe na watot wawili na nyumba juu.

Anyway. Mawazo yangu
 
Mabachelor mmeanza kujua hiyo mpaka uoe ni kama kujua ya mbinguni mpaka mauti yakufike, tuambie mkuu una madem wangapi angalia list ya namba za madem ulizochukua kwenye simu yako.
 
Umeoa halafu bado unadabula wanawake wengine hiyo ni nguvu ya uzinzi inatenda kazi, ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
Matatizo ya kutamani unayo wewe mwenyewe mkuu.

Mimi kama mimi niko busy kuwajengea familia yangu maisha bora ili hata siku nikiondoka duniani wanangu wasijehangaika.

Kwa maelezo hayo hapo juu, muda wa kutamani mwanamke nautoa wapi?
 
Shoda ubinafsi na uroho umewatawala kiasi mhalalisha zinaa kwa kujidai mwanaume huwezi kuwa na mwanamke mmoja!!!!!
Ndio tulivyoumbwa sio kama tunahalalisha hata vitabu vya dini vimeonyesha

Mfano mtazame king Solomon


Hakuna mwanaume anaetosheka na mwanamke mmoja sema tunajificha sana ili kuheshimu wake zetu anaekataa ni mnafikii ameficha Zambi zake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume anaacha kutamani akiwa amekufa pumzi haifanyi kazi lakini kama moyo unadunda kuhusu kutamani atafanya kwa kujificha tu lakini kazi ipo pale pale ata aoe wanawake mia nane.
 
Mwanaume anaacha kutamani akiwa amekufa pumzi haifanyi kazi lakini kama moyo unadunda kuhusu kutamani atafanya kwa kujificha tu lakini kazi ipo pale pale ata aoe wanawake mia nane.

Okay
 
Bado sijaoa had nmalze mamb yangu ndo ntaoa
Ukiwa mkubwa utaelewa Kwanini inakuwa hivo
Tamaa kwa mwanaume haziishi, ukiona huna tamaa ya zaidi ya mmoja tambua wewe ni mwanaume ndani ya mwanamke. Usisubiri umalize tamaa uoe utazeeka bure wazuri huzaliwa kila siku unaachaje kutamani.
Kwanza ya yote je? Wewe umeshaoa au bado uko unatamani.
Tuanzie hapo watakuja na majibu.
:D:D:D:D:D:D:DHAHAHAHA
 
Back
Top Bottom