UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Kwanini Umtambulishe Mtoto Kwa Baba Yake Kila Siku Utasikia "daddy uyo,sema daddy,daddy kaja,daddy"
pole sana kwa yaliyokupataKwanini Umtambulishe Mtoto Kwa Baba Yake Kila Siku Utasikia "daddy uyo,sema daddy,fdaddy kaja,daddy"
kuna mtu katapeliwa huko mkuu, mambo ya watoto hayoKama sijaelewa elewa hivi hapa