Wanaume, ugumu wa kumuacha mwanamke unatoka wapi?

Ukiona hivyo, basi ujue anakumbuka ulivyokua unamfinyia kwa ndani hadi ikajenga mazowea....tehteehh
 
Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano.

Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi mwingine, ama tu umechoka kuwa naye lakini kumuacha humuachi.

Mnashindwa wapi kaka zetu au ndo unamuweka tu ili uendelee kula? Kwani ukisitisha mahusiano ndo utashindwa kula? Bora mtu ajue mnakulana tu kiroho safi ila atafute mwingine wa kumpa mapenzi 100% sio wewe unaendelea kumpa 20% yako ili umle.

Sisi wanawake huwa wawazi sana. Mwanamke hata awe mkeo akipata mtu akamuelewa, akakolea wallahi atakujuza tu!(tena inaweza kuwa kwa dharau, haifichiki). Hatuwezagi ficha hisia eti unautesa moyo.

Hivi wanaume mnadhani anayeteseka zaidi ni yupi; yule ambaye anampenda mpenzi wake fully lakini mpenzi analegalega au yule ambaye yuko kwenye uhusiano haridhiki lakini kama zombie tu analazimika kukeep appearances?

Najua kuna watakaouliza “wewe mwanamke si umuache?” Si rahisi hivyo. Mapenzi hupitia phases, kuna wakati yanakuwa high na sometimes low. Sasa mimi naweza kukuchukulia kuwa umenichoka kumbe ni low season tu. Sasa wewe ndiye ujuaye, niweke wazi.

Muwe mnatuacha mkiona mambo si mambo tena bwana. Tuna listi zetu za watu wanatusubiri wawe nasi. Kupeana mapenzi robo robo sio fair kwakweli!
Anayeachwa ni mke tu lakini hawara haachwi, get it in ur head.
 
Hivi umesoma post nzima au umetaka tu kujibu nawe? Aaahh watu wa MMU, kuchoka mie!
Kwahiyo unaona nilichocomment hakihusiani na ulichoandika? Au ulitaka comments za kukufurahisha tu?
Wewe ni wa JLW?
 
Mm ni mmoja WaPo kumwambia mwanamke cmtaki au tuachane nafeel sana maumivu atakayoyapata na zile lawama za mara umenipotezea muda ataanza kulia mara pleaeplaese nyingi sasa bora kupunguza mahusiano akiamua kuniacha yeye sawa na tutakuwa tukionana tunasalimiana vizuri2 bila kinyongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kigumu kama kumwambia mwanamke ulichomwachia.


-Labda hakuridhishi.
-Labda umepata unayeona ni mzuri kumzidi
-Labda umemkinai tu.


Utaanzia wapi...mpo too emotional hampendi kupokea taarifa mbaya kuwahusu. Kinachobaki tunawaacha mjiongeze.
 
mapenzi kuwa low ni kawaida.....ni jukumu lenu wote kuangalia wapi bolt imelegea tuikaze.....sasa wewe ukitegea.....mwanaume kutafuta kipozeo ni normal situation........ni lazima kubust mahaba kila inapoonekana kuna shida btw.....ukisema si aniache na yeye anakutegea wewe...but jiulize utaacha wangapiiiiiii...
 
Sipendi ku quote thread yote, but kama mna list za watu wa kuwa nao mkiona hatuwaachi si mtuache nyie. Aaagh!

Sawa tunaweza kuacha lakini usisahau wanawake tu wavumilivu sana. Badala ya kucheza na uvumilivu wa mwenzio kwanini usimwambie tu nimeshashindwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom