Anayeachwa ni mke tu lakini hawara haachwi, get it in ur head.Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano.
Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi mwingine, ama tu umechoka kuwa naye lakini kumuacha humuachi.
Mnashindwa wapi kaka zetu au ndo unamuweka tu ili uendelee kula? Kwani ukisitisha mahusiano ndo utashindwa kula? Bora mtu ajue mnakulana tu kiroho safi ila atafute mwingine wa kumpa mapenzi 100% sio wewe unaendelea kumpa 20% yako ili umle.
Sisi wanawake huwa wawazi sana. Mwanamke hata awe mkeo akipata mtu akamuelewa, akakolea wallahi atakujuza tu!(tena inaweza kuwa kwa dharau, haifichiki). Hatuwezagi ficha hisia eti unautesa moyo.
Hivi wanaume mnadhani anayeteseka zaidi ni yupi; yule ambaye anampenda mpenzi wake fully lakini mpenzi analegalega au yule ambaye yuko kwenye uhusiano haridhiki lakini kama zombie tu analazimika kukeep appearances?
Najua kuna watakaouliza “wewe mwanamke si umuache?” Si rahisi hivyo. Mapenzi hupitia phases, kuna wakati yanakuwa high na sometimes low. Sasa mimi naweza kukuchukulia kuwa umenichoka kumbe ni low season tu. Sasa wewe ndiye ujuaye, niweke wazi.
Muwe mnatuacha mkiona mambo si mambo tena bwana. Tuna listi zetu za watu wanatusubiri wawe nasi. Kupeana mapenzi robo robo sio fair kwakweli!
Sina nilishaoa mdaDahh. Kwahyo hadi sasa una unfinished business ngapi?
Kama umeowa ndio ushindwe kupiga friend mechi?
Hizo zinapigwa ila kwa umakini wa hali ya juu sana ili kuepuka majeruhiKama umeowa ndio ushindwe kupiga friend mechi?
Kwahiyo unaona nilichocomment hakihusiani na ulichoandika? Au ulitaka comments za kukufurahisha tu?Hivi umesoma post nzima au umetaka tu kujibu nawe? Aaahh watu wa MMU, kuchoka mie!
Shangaa na wewe!Kwa hyo mpaka muambiwe? Hauwezi jiongeza?
Sipendi ku quote thread yote, but kama mna list za watu wa kuwa nao mkiona hatuwaachi si mtuache nyie. Aaagh!Muwe mnatuacha mkiona mambo si mambo tena bwana. Tuna listi zetu za watu wanatusubiri wawe nasi. Kupeana mapenzi robo robo sio fair kwakweli!
Anashangaza kweli mkuu!!Sasa ushaona unapewa mapenzi robo robo si ujikatae? Matatizo mengine mnayatengeneza wenyewe then mnatafuta wa kuyatatua nao.
Sasa uambiwe nini na unaona kabisa asilimia zimeshuka. We chapa lapa usisubiri kutonywa.100% ninayozungumzia hapa ni 100% ya mapenzi unayoweza kutoa ambayo mwanzo wa mahusiano yetu ulinipa. Sasa unapopunguza hadi 20% kimya kimya unanipa ujumbe gani?
Why usiseme tu mtu mzima mwenzio nikakuelewa?
Sasa uambiwe nini na unaona kabisa asilimia zimeshuka. We chapa lapa usisubiri kutonywa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi ku quote thread yote, but kama mna list za watu wa kuwa nao mkiona hatuwaachi si mtuache nyie. Aaagh!
Sababu tunataka kuendelea kugegeda.Kwanini ushushe asilimia na kumtesa mwenzio badala ya kusema tu baby tuachane?