Wanaume, ugumu wa kumuacha mwanamke unatoka wapi?

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
776
1,330
Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano.

Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi mwingine, ama tu umechoka kuwa naye lakini kumuacha humuachi.

Mnashindwa wapi kaka zetu au ndo unamuweka tu ili uendelee kula? Kwani ukisitisha mahusiano ndo utashindwa kula? Bora mtu ajue mnakulana tu kiroho safi ila atafute mwingine wa kumpa mapenzi 100% sio wewe unaendelea kumpa 20% yako ili umle.

Sisi wanawake huwa wawazi sana. Mwanamke hata awe mkeo akipata mtu akamuelewa, akakolea wallahi atakujuza tu!(tena inaweza kuwa kwa dharau, haifichiki). Hatuwezagi ficha hisia eti unautesa moyo.

Hivi wanaume mnadhani anayeteseka zaidi ni yupi; yule ambaye anampenda mpenzi wake fully lakini mpenzi analegalega au yule ambaye yuko kwenye uhusiano haridhiki lakini kama zombie tu analazimika kukeep appearances?

Najua kuna watakaouliza “wewe mwanamke si umuache?” Si rahisi hivyo. Mapenzi hupitia phases, kuna wakati yanakuwa high na sometimes low. Sasa mimi naweza kukuchukulia kuwa umenichoka kumbe ni low season tu. Sasa wewe ndiye ujuaye, niweke wazi.

Muwe mnatuacha mkiona mambo si mambo tena bwana. Tuna listi zetu za watu wanatusubiri wawe nasi. Kupeana mapenzi robo robo sio fair kwakweli!
 
Sasa ushaona unapewa mapenzi robo robo si ujikatae? Matatizo mengine mnayatengeneza wenyewe then mnatafuta wa kuyatatua nao.

Hivi umesoma post nzima au umetaka tu kujibu nawe? Aaahh watu wa MMU, kuchoka mie!
 
100%!huwa haipo wewe,ukipata hata 51%inatosha sana!!!kwani nyie ni pacha mpaka mfanane?

Sent using Jamii Forums mobile app

100% ninayozungumzia hapa ni 100% ya mapenzi unayoweza kutoa ambayo mwanzo wa mahusiano yetu ulinipa. Sasa unapopunguza hadi 20% kimya kimya unanipa ujumbe gani?

Why usiseme tu mtu mzima mwenzio nikakuelewa?
 
Ni kosa la kimkakati kumtamkia mwanamke kwamba humtaki, lengo kuu hapa ni kutengeneza mazingira ya kusitisha uhusiano bila kusitisha kumtafuna, ili hili liwezekane lazma umuache ni kutengeneza mazingira ya kuachana bila sababu ya msing ili hata mkikutana mnaulizana hv ilikuaje tukaachana? Blah blahs unakula mzigo unasepa... ukishakua na ma ex wako kadhaa wa namna hii huwez lala na nyege ukikosa mbunye mpya unatafuta kiporo kilicho free unaweka siku zinasonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom