Wanaume tuzingatie haya

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,335
1,778
Dear Brothers,

Kama wanawake wanakusumbua kwenye mauhusiano ni muda muafaka wa kujitenga na kujitathmini juu ya wanawake na ni muda wa kuwekeza kwenye mianya ya kutafuta pesa,hii ndio post bora ya vijana wote ambao hamjapata wenza wa kuishi nao.

Ni bora kuingia kwenye ndoa ukiwa na umri mkubwa na kuwa na ndoa takatifu yenye maelewano mazuri na furaha kuliko kuwahi kuingia kwenye ndoa na kutengeneza talaka ukiwa na umri mdogo sababu kila jambo na wakati wake.

Tumia nguvu nyingi kuutunza ujana wako kwa kuwa na afya ya mwili na kiakili pamoja kuwa na nguvu zifuatazo,nguvu na afya ya kiroho,nguvu na afya ya pesa na nguvu na afya ya kimwili,mwanaume bora halazimishi mauhusiano bali hutengeneza mauhusiano bora na thabiti.

Tengeneza future nzuri na yenye tija ili uwe na stamina ya kusimamia mauhusiano na familia na tuache kuwalalamikia wanawake kuwa wanapenda pesa na hawana mapenzi ya dhati,tafuta pesa kwanza na ujijenge ndipo utengeneze mauhusiano mazuri na yenye tija.

Achana na wanawake kama hauna pesa jiandae kuwa mume bora na baba bora kwa kuwa na uwezo wa kipesa, kiakili na kiroho sababu kwenye pesa ndio kuna hazina ya furaha,amani na heshima ya ndoa. Single is not a status. It is a word that best describes a person who is strong enough to live and enjoy life without depending on others.
 
Ushauri mzuri sana na wenye afya. Umenena vema...... !!!
 
ni ukweli uhusiano wa kukuweka busy ujanani hautakiwi. ila pia ili akili i function vizuri it is recommended uwe unagegeda japo kidogo ili u release stress.
 
Umenena sana kaka, tatizo lipo kwa hawa madada zetu, ukiwa unaanza mahusiano, anakuambia HATA CHINI nitalala, na kama ukipata bahati ya kusikilizwa na kweli akaanza life hata kwa kulala kitandani na boy wake, itafikia kipindi atachoka na kuanza kuwa na tabia nyingine kama kununa, kuzira na mengine mengi, kisa havai, hasuki na mwisho wa siku boy anapata stress

Lile LA kuolewa keshamaliza, sasa unataka life standard ambalo jamaa anapigana ili aweze kufika ile lever, inafikia kipindi jamaa anaweza Fanya kazi hata usiku ili kupata kipato, lakini akirudi home anamkuta mwenzie kanuna, kisa kachelewa kurudi katoka kwa mademu wengine, hii ni michache sana

Kwa life hili kama huna kipato cha uhakika ni bora kutulia, panga mambo yako kwa utulivu mkubwa, uwe huru, mwisho utatoka tu, Ndoa si lazima, ni jambo LA heli na kutunza heshima kitaa. Kama unapata stress kwa ajili ya love, just quit and be free
 
Back
Top Bottom