Wanaume tuwe wa kweli kwa hawa tunaowaita 'wife material'

audacious

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
239
391
Kuna kasumba ya baadhi ya wanaume kuwaaminisha au kuamini kwamba wife material ni mwanamke ambae muda wote amevaa nguo ndefu, mpole na mnyenyekevu, anapenda kushinda kanisani navitu kama hivyo.

Ukweli ni kwamba baadhi ya wanaume tunapenda wanawake waongeaji, wachangamfu mwanamke ambae anaweza kukupa changamoto.

Mwanamke ambae ukiwa nae hujiskii uko bored anaweza kuamua kuvaa kanga moko na kukuchezea chumbani mkiwa wenyewe wawili.Yani anautundu wa aina flan flan mkiwa wenyewe sio kujidai mama paroko Massa 24 mfano Kapeace atakuwa na fans wengi sana wa kiume humu jukwaani, just look at her.

Daah, sijui nisemaje ngoja nisiandike sana lakini in short wanawake ambayo wako open minded, wanajiamini wanajiachia yani vitu kama hivyo.

Though wapo ambao wanapenda hao too decent kind of women lakini sio wote.
 
Wengine tunaonekana km mapepe Malaya shankupe lkn ulokole ukizidi napo nadhani ni mbaya, navyoishi na shemeji yenu ni full mburudiko kufungulia mziki nikaanza kukata mauno tena nikiwa nusu uchi kawaida sana kuruka sarakasi km za wacheza sebene kawaida sana utani utani mwingi kukuta nakimbizana nae kwenye nyumba huku tunarushiana midoli kawaida hata saiv nimetoka kufanya hilo zoezi, nauishi uhalisia wangu mimi siigizi na ninaenjoy asante audacious
 
Watu hamfanani, kila mmoja anapenda mwanamke kulingana na sifa azijuazo mwenyewe!! We ukisema wa nini kuna mwenye ammezea mate..

Kweli kabisa..ila hii ya kupondea wanawake ambao me nawaita wajanja wajanja sio kabisa. Mwanaume unatakiwa ukirudi home kutoka kazini ukute mwanamke mchangamfu nyumbani..Mara amekukalia huku mnakunywa wine,vitu kama hivyo..
 
Wengine tunaonekana km mapepe Malaya shankupe lkn ulokole ukizidi napo nadhani ni mbaya, navyoishi na shemeji yenu ni full mburudiko kufungulia mziki nikaanza kukata mauno tena nikiwa nusu uchi kawaida sana kuruka sarakasi km za wacheza sebene kawaida sana utani utani mwingi kukuta nakimbizana nae kwenye nyumba huku tunarushiana midoli kawaida hata saiv nimetoka kufanya hilo zoezi, nauishi uhalisia wangu mimi siigizi na ninaenjoy asante audacious

Hakuna mwanaume asiyependa vitu flan kama vya kijinga jinga kutoka kwa mkewe..sasa kama mke at a pretend kama mwalimu wazamu unategemea nini kama sio kuwa na mchepuko..
Big up kapeace..shemela anabahati hahah
 
nimeipendaa hiyo......mwanamke kujiamini bhanaaa
 
Hakuna mwanaume asiyependa vitu flan kama vya kijinga jinga kutoka kwa mkewe..sasa kama mke at a pretend kama mwalimu wazamu unategemea nini kama sio kuwa na mchepuko..
Big up kapeace..shemela anabahati hahah
Mke muda wote yupo serious hajanuna lkn hacheki wa hatabasamu, muda wote ni kujifunika funika tu na kuita baba fulani, mwaka wa Tisa Huu lakini mume namwita sweet na baadhi ya watu hudhani ndo jina lake,
Akienda kwa mchepuko anabebwa mgongoni anakandwa pumbu anaogeshwa kwa asali na mchele we kaa kuita baba fulani eti usije onekana malaya mjini hapa k zenyewe kibaooo
 
unanifurahisha mdada coment zako tuuu....toa toa mama tupe kitchen party bila vyombooo.....
 
Inategem3a mwanamke ukiwa mpole sana inakupelekea ukose comfidence hata unapokuwa na hubby wako..mwanamke muongeaji anayekela ni yule asiy3angia mazingira hapa nipo na nani niongee nini kifupi mlopokaji......
Huyo sasa ndo wale wa moja haikai mbili haiingii ni chiriku kuongea pasipo mpangilio
 
Mke muda wote yupo serious hajanuna lkn hacheki wa hatabasamu, muda wote ni kujifunika funika tu na kuita baba fulani, mwaka wa Tisa Huu lakini mume namwita sweet na baadhi ya watu hudhani ndo jina lake,
Akienda kwa mchepuko anabebwa mgongoni anakandwa pumbu anaogeshwa kwa asali na mchele we kaa kuita baba fulani eti usije onekana malaya mjini hapa k zenyewe kibaooo
Hivi wale wanawake wanaoogopaga wanaume wao wanaweza kweli kuleta maujanja ndani? yani kama hivyo avae pichu tu aanze kukata mauno? nawaoneaga huruma naona kama hawaenjoy maana bby usimpomfanyia ujinga ujinga mnaishije
 
Back
Top Bottom