audacious
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 239
- 391
Kuna kasumba ya baadhi ya wanaume kuwaaminisha au kuamini kwamba wife material ni mwanamke ambae muda wote amevaa nguo ndefu, mpole na mnyenyekevu, anapenda kushinda kanisani navitu kama hivyo.
Ukweli ni kwamba baadhi ya wanaume tunapenda wanawake waongeaji, wachangamfu mwanamke ambae anaweza kukupa changamoto.
Mwanamke ambae ukiwa nae hujiskii uko bored anaweza kuamua kuvaa kanga moko na kukuchezea chumbani mkiwa wenyewe wawili.Yani anautundu wa aina flan flan mkiwa wenyewe sio kujidai mama paroko Massa 24 mfano Kapeace atakuwa na fans wengi sana wa kiume humu jukwaani, just look at her.
Daah, sijui nisemaje ngoja nisiandike sana lakini in short wanawake ambayo wako open minded, wanajiamini wanajiachia yani vitu kama hivyo.
Though wapo ambao wanapenda hao too decent kind of women lakini sio wote.