Wanaume tuwe na huruma

TASMANIA

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
656
723
Picha inajieleza"Hii vita haitamuacha mtu salama".
9272e4f2fdf793819673abf70cc82caa.jpg
 
Yaani naapa HAKI YA MUNGU siku nimfume MTU MZIMA ambaye umri wake hauendani na
binti yangu tena binti wa shule sitasubiri mahakama NITAUA TU!
Binti yako ana umri gani kwani?na unaishi nae wapi?
 
Yaani naapa HAKI YA MUNGU siku nimfume MTU MZIMA ambaye umri wake hauendani na
binti yangu tena binti wa shule sitasubiri mahakama NITAUA TU!
Utaishia kutetemeke tu akiondoka ndio unaenda kumpiga mwanao na mkeo!
 
Back
Top Bottom