Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Hivi we Mzimaa kweli ?! Sasa naonaje Wivu kwenye swala kama hilo...Yani mtu ana miaka 30 Hajaolewa Mimi nione wivu !?

Tunahangaika nao Sababu tuna date nao
Lazima tujue tunadate nao vipi
Hizi spana za humu ni hatari 😂😂
 
Mie nataka hao hao wenye 27+..

Tangazo la umma wadada wote wenye 27+ karibuni kwangu, kwanini mteseke na makaveli yupo.

"Waacheni wadada waje kwangu, maana makaveli ni wao"
 
Very clear sema sasa watu wanaleta maneno yao
Mapovu ni ya kutosha kabisa in here,japokuwa mada ilikuwa clear kabisa kuwa"Wadada wenye 27+ wasichezewe kihisia maana wengi wao wanakuwa desperate na ndoa na washapitia mengi"
 
Ahsante sana kwa kutilia mkazo hilo suala. Labda kwa vile washa jijua no body is home ndo maana makasiriko
Mada haizungumzii utegemezi wa kipato kwa mwanamke.
Mtoa mada katuasa wanaume kwamba, "MWANAUME USIMUUMIZE KIMAPENZI BINTI MWENYE UMRI WA 27+ IKIWA KAMA MWANAUME UNAJIONA HAUPO TAYARI KUANZISHA NAYE MAHUSIANO YENYE LENGO LA NDOA (na familia).
Mtoa mada amesisitiza kwamba MABINTI WENGI KATIKA UMRI HUO SIO WA KUWACHEZEA, MAANA BINTI WENGI WA 27+ HAWAPENDI KUPOTEZA MUDA KWENYE RELATIONSHIP ISIYO NA COMMITMENT."
Saint Anne , cariha , Karucee , Mother Confessor
 
Si kweli mada nyingi humu za mahusiano ni wanaume plus stress za life ni common Sana, seems mahusiano wanaume ni victim wakubwa
Dah hata hii unataka tubishane
Mwanaume hawi victim kwenye mahusiano ila kama ni ndoa hapo sawa maana ina mbana kuwa na mahusiano mengine. Lakini kama ni mahusiano tu hapo msichana yupo kwenye risk ya kuachwa na kupotezeana mda. Au we una maana gan
 
Sasa kwa dunia huu kutaka mwenzi wa kwako tu impossible na hyo wanaume kuwa polygamous huwa ni kujihalalishia tu in short we women's like different taste of people since watu hutofautiana, mie mwenyewe siwezi mind mtu wangu kisa cheating coz na mie napenda vya tofauti, that's why napenda mahusiano ya kupeana nafasi na sio yakutaka kumilikiana
Toba
 
Hakuna wanawake watamu kama 27+ yan hana kwere za hawa watoto wadogo, vina piga simu kama chiriku.. Yan upo ofisini simu unarud hom simu, yan kila saa simu na msg za bure, nishaviblock vingi sana.

WANAWAKE ON THEIR LATE TWENTIES WANAKUAGA VERY MATURE MKUU, Desperation ya marriage ni mtu binafsi. Kuna wanawake wana ndoto kubwa sana kiasi kwamba akikwambia utabaki mdomo wazi so kwao mambo ya kuoana na marriage ni sio ishue sana..
 
In reality ratio yao ni kama 3:10
 
Seems like your mindset is still in the Stone Age Era. Let me break it down for you.

Wanawake siku hizi tumeelimika. Tunaenda na kasi ya maisha. Akili zetu zipo kimaendeleo zaidi. Tuna focus kwenye elimu, biashara na ajira ili kujiingizia kipato maisha yaende.

Bado tunapenda na kuheshimu ndoa, lakini Ni muhimu tuingie kwenye ndoa tukiwa na maisha yetu, na hela zetu. Hata tukiingia na kibanda chetu na kiusafiri Kuna tatizo kwani?

Kulewa na kuzaa kupo tu. Tusake maisha kwanza.
Ulichosema ni kweli lkn kwetu sisi ni nadra sana mwanamke kuolewa na mvulana ambaye ana umri mdogo, mfno wewe una 30yrs na umpate mchumba wa 27yrs sio rahisi, kwahiyo umri wa ke unavyozidi nafasi ya kuolewa ibapungua.
 
Hakuna wanawake watamu kama 27+ yan hana kwere za hawa watoto wadogo, vina piga simu kama chiriku.. Yan upo ofisini simu unarud hom simu, yan kila saa simu na msg za bure, nishaviblock vingi sana.

WANAWAKE ON THEIR LATE TWENTIES WANAKUAGA VERY MATURE MKUU, Desperation ya marriage ni mtu binafsi. Kuna wanawake wana ndoto kubwa sana kiasi kwamba akikwambia utabaki mdomo wazi so kwao mambo ya kuoana na marriage ni sio ishue sana..
Wabongo hawatakuelewa mkuu.
Washakaririshana ujinga kuwanyooshea vidole hawa wadada
 
Back
Top Bottom