Hahahahaaa ndio mnavyosemaga....siasa kila konaMmh!kumbe Ila sema mimi nikimpata wangu mwandani nikamweka siwezagi kabisa kumuumiza labda yeye ndo aniumize
Mmh!kweli na hivi sijawahi fall in love kabisa siku nikibahatika nakamatia fursa sitaki kumponza kabisaHahahahaaa ndio mnavyosemaga....siasa kila kona
Iwe heri kwako upate wa ubavu wako,uishi kwa furaha tele hata km atakuwa 27+Mmh!kweli na hivi sijawahi fall in love kabisa siku nikibahatika nakamatia fursa sitaki kumponza kabisa
You're such a good lady kumbe unajua kutia moyo sana Ila sasa na mwanaume upate anayekufaaIwe heri kwako upate wa ubavu wako,uishi kwa furaha tele hata km atakuwa 27+
Ameeeen!You're such a good lady kumbe unajua kutia moyo sana Ila sasa na mwanaume upate anayekufaa
Ila sasa mi sema sizingatii age kwenye relationship nachozingatia loveAmeeeen!
Hamna kitu kizuri km kuishi kwenye upendo,haya mambo ya age mara pesa sio msingi ila kilichopo ndani yakoIla sasa mi sema sizingatii age kwenye relationship nachozingatia love
Wowkumbe na wewe una true love sio kama ya kina..nonihino nilipenda pesa zako ila don't changeHamna kitu kizuri km kuishi kwenye upendo,haya mambo ya age mara pesa sio msingi ila kilichopo ndani yako
Kila siku namuomba Mungu anijaze mema ndani yangu,mabaya ya ulimwengu yasikatili moyo wanguWowkumbe na wewe una true love sio kama ya kina..nonihino nilipenda pesa zako ila don't change
Wowila sema dunia haiko fair watu wema na wenye mioyo mema hawapatagi wenza mapemaKila siku namuomba Mungu anijaze mema ndani yangu,mabaya ya ulimwengu yasikatili moyo wangu
SanaaaaUnahangaika sana
Nimeshajiandaa kisaikolojiaWowila sema dunia haiko fair watu wema na wenye mioyo mema hawapatagi wenza mapema
yeah ndo vizuri Ila mimi nataminigi nione hiyo love wanayosemaga inaumiza nione Kama ni kweliNimeshajiandaa kisaikolojia
Subiri wakati wako ufike utayaona mengi na ndo utajua hujui....hyo kuumiza inakuja kmyeah ndo vizuri Ila mimi nataminigi nione hiyo love wanayosemaga inaumiza nione Kama ni kweli
Wewe usiniambie na mimi ntaumizwa nilivyo na moyo wa upendo hivi jamaniSubiri wakati wako ufike utayaona mengi na ndo utajua hujui....hyo kuumiza inakuja km
Utajionea mwenyewe mkuuWewe usiniambie na mimi ntaumizwa nilivyo na moyo wa upendo hivi jamani