Wanaume tutumie Hii Mbinu

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Asalaam Aleikum Ndugu Wapenzi. Poleni Na Mahangaiko ya kutafta Mkate wa kila siku.

Kwa sasa nimekuwa Mtu wa kujichanganya sana na watu, ilimradi nipate mawaidha flani kwa kusikiliza angalau wanachozungumza wanandugu.!

Katika story zinazotrend sana katika kujichanganya na watu nimekuta story za Mapenzi zikiwa zinatrend mno, Yaani Mahusiano kati ya Mwanamke na Mwanaume.

Kumekuwa na Malalamiko Mengi ya wanaume kuwahiwa kwa wanawake zao waliopanga kufunga nao Pingu za Maisha. yaani unakuta mwanaume alishapanga kumuoa mwanamke Flani ila kwakuwa mambo bado hayakaa sawa anakuwa anavuta vuta ili ajiweke poaa.

Basi kwa kuwa wanawake ndio Hawa wakiahidiwa Ndoa wanaweka Mapenzi Pembeni wanajikuta wamepoteza wapenzi wao kwa wanaume wengine.

Ili Kuavoid hilo Nawashauri Wanaume Wenzangu kama una nia na mwanamke kweli ya kumuoa sio ya kumchezea bora kabisa ukamtia mimba ili angalau uji secure kwa kiasi flani, maana tafiti zinaonesha mwanamke aliyezaa uwezekano wake wa kuolewa na Mwanaume ambaye sio baba mtoto ni Mdogo. so hii mbinu itasaidia sana kuprotect wanawake zetu wasiporwe.

Angalizo: Ni kwa wenye nia ya dhati kabisa ya kuoa
 
Hili nalo lipo kwenye mpngo wa viwonder ifikapo mwaka 2021
 
Nani akubali kuwa single mother?? Ahaaa hii mbinu sio tafuta nyingine. Hii mkafanye kwa watoto wa sekondari
 
Back
Top Bottom