Wanaume tusijidanganye kuoa mwanamke wa Dar/Pwani na kuja kuishi naye mikoani

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,948
12,899
Kijana umetoka Iringa, Sumbawanga, Ruvuma huko umeenda Dar/Pwani au Tanga kutafuta maisha ukapata mwenza kisha ukaamua kurudi nae nyumbani kuanzisha mji wako , hesabia maumivu.

Vijana wote ninaowafahamu waliorudi na wake, hao waliaga wanaenda kwao kusalimia na hawakurudi tena.

Unapooa bint kutoka huko na kumleta mikoani kuja kuishi nae angalau uwe na maisha yanayoeleweka na usiombe ufwafwanzike.

Hawa mabint wa dar unaweza angalau ukadumu nae kama umeamua kuishi nae hapo hapo Dar/Pwani/Tanga au waoanage na Wanaume wa hapo hapo kwao.
 
Angalau ukioa wa kijiji cha jirani ulikozaliwa au unakoishi hata ukifwafwanzika anaweza akakuvumilia au ameenda kusalimia kwao na akazamia unaweza ukafata.

Ila huyu wa Dar akienda kwao akazamia ukaamua umfuate usishangae familia nzima inasimama upande wa bint, kwamba bint yao hawezi kurudi kwako.
 
Binafsi nimezaliwa Dar nimekulia Dar nimesomea Dar...mkoani nimekaa muda mchache

Hiko unachosemea inawezekana ikawa ni kweli ila sio kweli kwa asilimia zote,ni vile inategemea ni mwanamke wa aina gani tu uliyebahatika kumpata

Na sijui kwanini hujawaweka hao vijana waliowapeleka huko mikoani kama ndio wenye matatizo hadi hao wadada waliaga na hawakurudi...ila mabinti wa Dar tuko vizuri bhana
 
Ubarikiwe Joanah kwa kweli ana chuki mbaya sana.
 
Angalau ukioa wa kijiji cha jirani ulikozaliwa au unakoishi hata ukifwafwanzika anaweza akakuvumilia au ameenda kusalimia kwao na akazamia unaweza ukafata.

Ila huyu wa Dar akienda kwao akazamia ukaamua umfuate usishangae familia nzima inasimama upande wa bint, kwamba bint yao hawezi kurudi kwako.
Karibu tutapiga marufuku kuoana na nyinyi ...muoane wenyewe kwa wenyewe huko!!!
 
Back
Top Bottom